ALY KAMWE AWATUPIA KIJEMBE HIKI SIMBA PACOME AHUSISHWA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa kwao uongozi wanajisikia furaha kusikia na kuona kila baada ya mchezo unapomalizika, wachezaji wao…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa kwao uongozi wanajisikia furaha kusikia na kuona kila baada ya mchezo unapomalizika, wachezaji wao…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho, amewapongeza wachezaji wake kwa kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate, uliopigwa juzi Jumapili…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, ameanza mchakato kuwapeleleza wapinzania waliopangwa moja katika michuano ya Ligi ya Mabingwa…
Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Marcel Koller, alia na mfululizo wa mechi huku akiitaja ratiba kuwa kikwazo kwa timu yake kupata matokeo mazuri…
Wachezaji watatu wanawania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Simba kwa Septemba, 2023 ikiwa ni vita yao nyingine kumpata mbabe wao. Ndani ya…
Nyota wa Yanga, Maxi Nzengeli ametaja nguzo tano zinazowapa wachezaji nguvu ya kupata matokeo kwenye mechi za kitaifa na kimataifa wawapo uwanjani. Chini ya Kocha…
Kocha mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya timu yake kuwa na uwezo wa kufunga kila mechi, bado kuna tatizo la mawasiliano…
Ahmed Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawataruhusu sare…
Mchezaji wa zamani wa Yanga Princess na timu ya taifa, Clara Luvanga ameingia mkataba wa miaka mitatu na timu ya soka ya wanawake ya Al…
Ikiwa imepita miezi kadhaa Wana-Yanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa USM Alger ya Algeria, Abdelhak Benchikha…