NGOMA NA MKUDE WAWEKWA JAHAZI MOJA KISA HIKI HAPA
Kwa sasa mashabiki wa Simba wako katika kilele cha furaha kutokana na kiwango ambacho kinaonyeshwa na Kiungo Mkongomani Fabrice Ngoma tangu atue hapo Unyamani. Fabrice…
Kwa sasa mashabiki wa Simba wako katika kilele cha furaha kutokana na kiwango ambacho kinaonyeshwa na Kiungo Mkongomani Fabrice Ngoma tangu atue hapo Unyamani. Fabrice…
Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wakitarajia kuchuana na Al Merrikh keshokutwa Jumamosi (Septemba 30), Kocha Miguel Gamondi, amewataka mabeki wake kuongeza umakini…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefanya kazi ya ziada ya kukutana na mchezaji mmoja mmoja ili kufanikisha mipango ya kushinda mchezo wa…
Unahitaji muda sana kuuelewa mpira wetu. Una njia zake. Unajiendesha kivyake vyake. Nigumu sana kumpata Mtanzania ambaye sio shabiki wa Yanga wala Simba. Ni vigumu…
Imeelezwa kuwa Beki kutoka DR Congo Henock Inonga Baka, anatarajia kurejea dimbani mapema zaidi ya ilivyodhaniwa, kufuatia jeraha lake kuendelea vizuri. Daktari wa klabu hiyo,…
Beki wa kushoto wa Young Africans, Joyce Lomalisa anaendelea vizuri licha ya jeraha alilolipata kwenye mechi ya Namungo FC na kushindwa kuendelea na mechi hiyo…
Mchambuzi wa masuala ya uchumi Scanda ameelezea sababu shawishi zilizosaidia kuitangaza Tanzania kiasi cha CAF kushawishika kwenye hii pamoja Bid 2027 kuandaa AFCON. Mchambuzi huyo…
Kocha wa Klabu ya Pyramids ya Misri anayoichezea Fiston Mayele, Mreno Jaime Pacheco ameripotiwa kutakwa na klabu ya Marseille ya Ufaransa ambayo kwa sasa haina…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Nani kukupa pesa Carabao? Je ni Chelsea, Manchester United, City, Westham au West Ham? Ingia Meridianbet sasa ubashiri na mabingwa hawa wa ODDS KUBWA Tanzania.…