Simba vs Coastal Union
Habari za michezo

UJIO WA AFCON SIMBA YAHUSISHWA…. ISHU IKO HIVI

Staff Desk September 28, 2023 10:38 am

Mchambuzi wa masuala ya uchumi Scanda ameelezea sababu shawishi zilizosaidia kuitangaza Tanzania kiasi cha CAF kushawishika kwenye hii pamoja Bid 2027 kuandaa AFCON.

Mchambuzi huyo amesema katika hilo, Simba wana mchango mkubwa.

β€œYote haya yaliyotokea lazima tuipongeze Simba, zile Kwa Mkapa hatoki mtu zimetusaidia sana kututangaza.

β€œMbali na hayo Matamasha ya Simba Day na Mwananchi nayo pia yametutangaza sana, CAF wanataka kuona ile atmosphere ya mashabiki kujaa viwanjani, mara zote haya Matamasha mashabiki huwa wanajaa Elfu 40 hadi Elfu 60,” alisema.

ALIYMBEBA MAYELE ATAKIWA HUKU MAJANGA, LOMALISA KUIKOSA AL MAREIKH ISHU IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply