MPANGO WA SVEN NA KOSI LAKE DHIDI YA YANGA UPO HIVI
BAADA ya kutumia dakika 180 kuokota mabao mawili kwenye nyavu zao, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wanakaribishwa na watani zao wa jadi, Yanga Uwanja wa Mkapa.Kwenye mechi hizo mbili ilikuwa mbele ya Tanzania Prisons 1-0 na Ruvu Shooting 1-0 nyota wao Clatous Chama hakuwa sehemu ya kikosi ila aliporejea mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya...
DABI YA LEO, SIMBA PRESHA TUPU, YANGA WANAPETA TU
LEO saa 11:00 ni muda wa mechi kali yenye historia kwenye soka la Bongo ambapo mabingwa watetezi Simba watavaana na mabingwa wa kihistoria Yanga.Hii itakuwa mechi ya kwanza kwa timu hizo kukutana msimu huu ambapo Simba wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 19 baada ya kufanikiwa kucheza michezo 9 huku Yanga wakiwa nafasi ya pili baada ya kukusanya...
SURE BOY: WACHEZAJI TUPO TAYARI KWA USHINDANI
SALUM Abubakari, nyota wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo linawafanya wawe imara wanapokuwa ndani ya uwanja.Novemba 5, Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC na imekwea kileleni ikiwa na pointi 25 baada ya kucheza mechi 10 za ligi.Ikiwa imetupia...
SIMBA YAWEKA HADHARANI MAJEMBE YA KAZI YATAKAYOIMALIZA YANGA KWA MKAPA
YAMEBAKI masaa leo Novemba 7 kabla ya watani wa jadi Yanga na Simba kukutana Uwanja wa Mkapa kusaka pointi tatu, mabingwa watetezi Simba wameweka bayana mitambo ya kazi itakayowamaliza wapinzani wao.Simba itaingia uwanjani ikiwa na hasira za kulipa kisasi baada ya kupoteza pointi nne msimu uliopita kwenye dabi ya Kariakoo baada ya mchezo wa kwanza Januari 4 kulazimisha sare...
WILLIAN ANAAMINI ARSENAL ITATWAA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND
WILLIAN da Silva, winga wa kikosi cha Arsenal amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England akiwa chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta.Wiga huyo ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho ambapo aliibuka ndani ya Arsenal akitokea Klabu ya Chelsea ambayo nayo pia inashiriki Ligi Kuu England.Raia huyo wa Brazil mwenye miaka 32 amesema kuwa...
TAIFA STARS KUWAVAA TUNISIA BILA MASHABIKI KWA SABABU YA CORONA
MCHEZO wa Novemba 14 Uwanja wa Mkapa kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Tunisia huenda ukachezwa bila ya uwepo wa mashabiki baada ya Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) kutoa taarifa kwamba mechi zote zitachezwa bila ya uwepo wa mashabiki.Taarifa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari jana jioni Novemba 6 imeeleza kuwa makubaliano hayo yamefanywa kupitia mkutano wa viongozi...
PACHA TANO MATATA AMBAZO YANGA WANATAMBIA KUIMALIZA SIMBA HIZI HAPA
YANGA kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba itakayochezwa leo Novemba 7, Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, tayari ina kombinesheni tano za hatari wanazoringa nazo kwamba zinawapa matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mchezo huo. Mashabiki wao wanatamba wakisema: “Hapa Mnyama hachomoki Jumamosi, lazima tuondoke na pointi tatu," . Mabingwa hao wa kihistoria kwenye Ligi Kuu Bara, wana rekodi...
OLE GINNAR AFUNGUKIA HATMA YAKE UNITED
KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer, amesema makosa yaliyofanywa na mabeki wake yaliyosababisha wafungwe bao 2-1 na Instanbul Basaksehir katika ligi ya mabingwa Ulaya si ya kusameheka. Mabeki wa United walifanya makosa ya kizembe yaliosababisha Edin Viska na Demba Ba kufunga mabao yaliyowapa ushindi Instanbul ushindi wa kwanza katika ligi ya mabingwa Ulaya. Akizungumzia mchezo huo, Solksjaer amesema ni mbaya sana kuruhusu mabao...
KAZE KIBARUANI LEO, KUKOSA NYOTA WAKE NANE DHIDI YA SIMBA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga leo anakazi ya kwanza kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa Lig Kuu Baa dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.Hii inakuwa ni dabi yake ya kwanza baada ya kuibuka ndani ya ardhi ya Bongo akichukua mikoba ya Zlatko Krmpotic aliyefutwa kazi Oktoba 3.Tayari amekiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi nne ambapo ameshinda tatu...