WAZIR JUNIOR AFIKIRIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA BAADA YA KUFUNGA BAO LA KWANZA MBELE YA KMC

0

 WAZIR Junior amesema kuwa ndoto yake ni kuwa mfungaji bora wa msimu wa 2020/21 baada ya kufunga bao moja Kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC leo Oktoba 25, Uwanja wa CCM Kirumba

KURASINI HEATS MABINGWA KIKAPU TANZANIA

0

TIMU ya Kurasini Heats imetwaa taji la ubingwa wa kikapu Tanzania (National Basketball League - NBL 2020) kwa kuifunga Oilers 76-59. Nafasi ya mshindi wa tatu imeenda kwa Don Bosco Panthers ya Dodoma kwa kuifunga Vijana Basketball Club ya Dar es Salaam 80-77.Kwa upande wa Wanawake, JKT imetwaa Ubingwa huo na mshindi wa pili ni Don Bosco Lioness zote za...

ADAM ADAM AWEKA REKODI YAKE WAKATI JKT TANZANIA IKIITUNGUA MABAO 6-1 MWADUI

0

 ADAM Adam mshambuliaji wa JKT Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu Abdalah Mohamed, 'Bares' leo Oktoba 25 ameibuka shujaa ndani ya timu hiyo wakati wakiitungua mabao 6-1 Mwadui FC Uwanja wa Mwadui Complex. Kwenye ushindi huo wa mabao sita, Adam amefunga jumla ya mabao matatu ikiwa ni hat trick ya kwanza ndani ya msimu wa 2020/21.Mabao hayo aliwafunga dakika ya 24, 48...

VPL: KMC 1-1 YANGA

0

 Dakika 45 zinakamilika inaongezwa dk 1Paul Peter anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 40 Tuisila Kisinda anafunga Goooal kwa YangaDakika ya 39 Yanga wanapata penaltiDakika ya 36 Dante anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 36 Fei Toto anapeleka mashambulizi kwa KasejaDakika ya 29 Yanga inapata faulo karibu na 18Dakika ya 26 Hassan Kabunda Gooool nje ya 18 na anaonyeshwa kadi ya...

JESHI LA KMC LITAKALOANZA LEO DHIDI YA YANGA UWANJA WA KIRUMBA

0

 KIKOSI cha KMC kitakachoanza leo Oktoba 25 dhidi ya Yanga, Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara. 

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC

0

 KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 25 dhidi ya KMC Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara.Tayari kikosi kimeshatia timu Uwanja wa Kirumba ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo wa leo unaotarajiwa kuanza saa10:00.

AISHI MANULA WA SIMBA ANA KAZI YA KUFANYA KWA VITA YA REKODI

0

 AISHI Manula, kipa namba moja ndani ya Klabu ya Simba kwa sasa kichwa kinampasuka kila anapotazama namna makipa wenzake wanavyoandika rekodi mpya huku naye akiwa na kazi ya kupambania gloves zake za kipa bora alizopewa msimu wa 2019/20.Kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara ukiachana na vita ya kiatu cha ufungaji bora pia kwa upande wa makipa mambo yanazidi...

MISHAHARA YA MAKOCHA BONGO NOMA, AZAM, SIMBA NA YANGA WANAVUTANA SHATI

0

 VITA kubwa ni kwenye kusaka pointi tatu ndani ya uwanja na zile tatu bora ni balaa kwa sasa ambapo Azam FC ni baba lao wakiwa nafasi ya kwanza na pointi 21. Mbali na vita ya pointi tatu, ishu ya mkwanja wanaovuta makocha waliopo ndani ya Bongo ni balaa, Yanga wanatamba na wadhamini wao Kampuni ya GSM huku Simba wakiwa na...

IHEFU FC: TUTAREJEA KWENYE UBORA HIVI KARIBUNI

0

ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa vijana wake wanaimarika taratibu hivyo anaamini kwamba mechi zijazo atapata matokeo chanya.Kwa sasa Ihefu FC ipo nafasi ya 18 baada ya kucheza mechi nane na imekusanya jumla ya pointi nne kibindoni.Imeshinda mechi moja ilikuwa dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Sokoine kwa ushindi wa bao 1-0 na imefungwa jumla ya mechi...

YANGA YAWAITA MASHABIKI UWANJANI

0

LAMINE Moro nahodha wa Yanga amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mechi zao za Ligi Kuu Bara kwa kuwa wamempata mwalimu mpya ambaye yupo vizuri hivyo jukumu la mashabiki ni kuwapa sapoti katika mechi zao.Yanga leo inacheza mchezo wa ligi dhidi ya KMC utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba saa 10:00 jioni.Mchezo wa leo utakuwa ni wa saba...