MTIBWA SUGAR YAMSHUKURU KATWILA

0

BAADA ya jana, Oktoba 18 Zubeir Katwila aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar kubwaga manyanga na kuibukia ndani ya Ihefu FC akiwa ni Kocha Mkuu, Uongozi wa Mtibwa Sugar umemshukuru kwa kutumika ndani ya timu hiyo.Katwila amelelewa Mtibwa Sugar ambapo alianza akiwa ni mchezaji wa timu hiyo 1999 na jana Oktoba 18 alihitimisha safari yake ya mafanikio na timu...

SPURS HAWAAMINI WANACHOKIONA

0

 JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur amesema kuwa waliadhibiwa jana mbele ya West Ham United kwa kuamini kwamba wamemaliza kazi jambo lililowaponza wagawane pointi mojamoja.Mchezo huo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur, ulikamilika kwa timu zote kufungana mabao 3-3 huku West Ham wakipindua meza zikiwa zimebaki dakika 8 mpira kumalizika kwa kuwa walikuwa wamefungwa mabao...

KIKOSI CHA AZAM FC KILICHOPO MBEYA KWA AJILI YA MCHEZO WA LIGI DHIDI YA IHEFU FC

0

 Kikosi cha Azam FC kilichopo Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC, kesho Oktoba 20, Uwanja wa Sokoine 1.Beko2.David3.Wadada4.Abdul5.Bruce6.Agrey7.Mudathir8.Djodi9.Chirwa10.Tigere11.Domayo12.Sebo13.Niyonzima14.Nado15.Daniel16.Akono17.Lyanga18.Yakubu19.Sure20.Prince

MIPANGO YA YANGA NI NOMA, WAPIGA TIZI LA MAANA

0

 KAZI ya kuusaka ubingwa imeanza Yanga, hii ni baada ya kocha mpya wa kikosi hicho, Cedric Kaze kuanza kazi rasmi akiwa hataki utani hata kidogo.Kaze raia wa Burundi, Alhamisi ya wiki hii majira ya saa nne usiku, alitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar, kisha juzi Ijumaa akasaini mkataba wa miaka miwili kuinoa...

SIMBA YAIFUATA TANZANIA PRISONS KWA MTINDO HUU

0

 KIKOSI cha Simba leo Oktoba 19 kimeanza safari kuelekea Mbeya ambapo kitakaa kwa muda wa siku mbili kabla ya kuelekea Rukwa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo huo wa raundi ya sita utachezwa Oktoba 22, Uwanja wa Nelson Mandela,  saa 10:00.Leo wapinzani wao Tanzania Prisons watakuwa kibaruani Uwanja wa Jamhuri Dodoma kumenyana na...

KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU

0

Zuber Katwila sasa ni Kocha Mkuu wa Ihefu baada ya kubwaga manyanga Mtibwa Sugar akichukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0

 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

KABLA YA YANGA NA SIMBA, MECHI ZAO ZA MOTO HIZI HAPA

0

NOVEMBA 7, Uwanja wa Mkapa ile mechi ambayo iliota mbawa Oktoba 18  sasa inatarajiwa kupigwa kwa watani hawa wa jadi kuweza kukutana ndani ya uwanja.Kuelekea mechi hiyo timu zote zimebakiwa na mechi nne mkononi za kucheza ambazo ni dakika 360, katika mechi hizo, Simba itacheza mechi tatu Dar na moja itapigwa nje ya Dar na Yanga itacheza mechi tatu...

AZAM FC YATAKA KUSHINDA MECHI ZOTE

0

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kushinda mechi zote zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 ili kutimiza lengo lao namba moja la kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Azam FC imecheza mechi sita ndani ya ligi ambazo ni dakika 540 imeshinda zote, imefunga mabao 12 na kufungwa mabao mawili na pointi...

MEDDIE KAGERE HATIHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7

0

 MTUPIAJI namba moja ndani ya Bongo kwa misimu miwili mfululizo akiwa amefunga jumla ya mabao 49 ambapo alifunga mabao 23 msimu wa 2018/19 na mabao 22 msimu wa 2019/20 na mabao manne msimu wa 2020/21 Meddie Kagere kuna hatihati akaukosa mchezo dhidi ya Yanga, Novemba 7 kutokana na kusumbuliwa na majeraha.Kagere ana zali la kuwafunga Yanga ambapo kwenye mabao...