KAZE ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI YANGA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 16 umemtambulisha rasmi Kocha Mkuu Cedric Kaze, ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kuwa ndani ya klabu hiyo.Kaze alitua Bongo usiku wa kuamkia leo akitokea nchini Canada na kupokelewa na viongozi wa Yanga pamoja na mashabiki.Amekuja kuchukua mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye alifutwa kazi Oktoba 3 kutokana na kile kilichoelezwa kuwa hakuwa...
RATIBA YA VPL LEO NI JAMHURI, DODOMA
LEO Oktoba 16 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo mchezo mmoja utachezwa kwa timu mbili kusakapointi tatu muhimu. Dodoma Jiji FC itawakaribisha Mbeya City Uwanja wa Jamhuri Dodoma saa 10:00.Dodoma Jiji ipo nafasi ya saba kwenye msimamo baada ya kucheza mechi tano na mchezo wake wa kwanza dhidi ya Mwadui FC msimu wa 2020/21 ilishinda bao 1-0.Imekuwa na matokeo chanya...
DYBALA AINGIA ANGA ZA CHELSEA
IMERIPOTIWA kuwa Chelsea ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya Paulo Dybala anayekipiga ndani ya kikosi cha Juventus.Mshambuliaji huyo mwenye miaka 26 raia wa Argentina amekuwa nje ya mpango wa Kocha Mkuu wa Juventus, Andrea Pirlo kwenye kikosi cha kwanza kutokana na kusumbuliwa na majeraha hivi karibuni. Kwa mujibu wa Tutto Mercato Web, imeripoti kwamba Frank Lampard, Kocha Mkuu wa...
KASI YA AZAM FC YAIPA PRESHA SIMBA
USHINDI wa Azam FC jana Oktoba wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC umewapa presha mabingwa watetezi Simba kwa kusema kuwa wanakikosi kizui kinachostahili pongezi.Kwa sasa Azam FC ni vinara wa igi Kuu Bara wakiwa na pointi 18 baada ya kucheza mechi 6 ndani ya Ligi Kuu Bara imefunga jumla ya mabao 12 huku Simba ikiwa nafasi ya pili...
KOCHA YANGA APOKEA MESEJI NYINGI KABLA YA KUANZA KAZI
CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga ambaye ametua Bongo usiku wa kuamkia leo amesema kuwa anachohitaji ndani ya Yanga ni sapoti ili aweze kufikia malengo ambayo Yanga wanahitaji.Kaze amekuja kuchukua mikoba ya Zltako Krmpotic ambaye alifutwa kazi Oktoba 3 na uongozi wa Yanga.Na ameweka bayana kuwa amekuwa akipokea meseji nyingi kutoka kwa mashabiki.Kaze amesema:"Ninaweza kusema kuwa nimepata faraja kubwa...
MASHABIKI UINGEREZA KUPEWA RUKSA YA KUINGIA UWANJANI
HUENDA mashabiki wa soka nchini Uingereza wanaweza kurejea tena viwanjani hivi karibuni, baada ya ombi la mashabiki kupata saini nyingi kutoka kwenye Bunge la Uingereza ambalo limepanga kuijadili taarifa hiyo Novemba 9, mwaka huu. Tangu Machi, Serikali ilipiga marufuku mashabiki kuingia viwanjani kutokana na ugonjwa wa Corona, hivyo hatua hiyo endapo itafikiwa ni nafuu kwa vilabu vingi ambavyo vinategemea zaidi...
AZAM FC MOTO HAUZIMI, WAZIPOTEZA SIMBA NA YANGA
KIKOSI cha Azam FC kimeendeleza moto wake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kushinda mechi sita mfululizo na kujiwekea kibindoni pointi 18.Kikiwa chini ya Aristica Cioaba kimecheza mechi sita za Ligi Kuu Bara na kushinda zote huku kikifunga jumla ya mabao 12.Ushindi wa jana wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC uliochezwa Uwanja wa Azam Complex unaifanya timu hiyo...
KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KAKOLANYA KUSUGUA BENCHI
IKIWA Simba ipo nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kujikusanyia pointi 13 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu wa kikosi hicho, Sven Vandenbroeck, amesema sababu kubwa inayompa nafasi Aishi Manula kukaa golini ni uwezo wake. Manula amekaa golini kwenye mechi zote tano ambazo Simba imecheza mpaka sasa kwenye ligi, huku kipa namba mbili wa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa