MERIDIANBET YAKUPA NAFASI YA KUSHINDA SIMU MPYA YA SAMSUNG A25!…
Meridianbet inakuja tena kwa kishindo kukubadilishia maisha! Kupitia promosheni yao mpya ya kusisimua, "Jisajili, Weka Amana, na Bashiri", unapata nafasi ya kipekee ya kushinda moja kati ya Samsung A25 mpya. Kushiriki ni rahisi sana: ✅ Jisajili akaunti yako na Meridianbet ✅ Weka amana ya kiasi chochote ✅ Bashiri kwenye michezo au kasino Baada ya hatua hizi, jina lako linaingia moja kwa moja kwenye...
KUHUSU HATMA YA CHAMA MSIMU UJAO….YANGA WAMTUPIA ‘ZIGO LA MIDA’ KOCHA….
KIUNGO mahiri wa Klabu ya Yanga, Clatous Chama, bado hajajua hatma yake ya kuendelea kusalia Jangwani kwa msimu ujao wa 2025/26, huku suala hilo likielekezwa moja kwa moja mikononi mwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hamdi Miloud. Chama, ambaye alijiunga na Yanga kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea kwa watani wao wa jadi Simba , anatarajiwa kumaliza mkataba wake mwishoni...
KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA WASAUZI…..HILI HAPA JIPYA KUTOKA KWA ‘SEMAJI LA CAF’….
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ameweka bayana dhamira ya klabu hiyo kuandika historia mpya katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, wakilenga kuvuka hatua ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini. Katika mahojiano maalum, Ahmed amesema kuwa Simba imejifunza kutokana na makosa ya nyuma walipokutana na vigogo wa Afrika Kusini kama...
REFA ALIYEIPA SIMBA GOLI 7-0 DHIDI YA HORAYA AKABIDHIWA MECHI YA WASAUZI JPILI…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya ghafla ya refa wa mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Stellenbosch na Simba itakayochezwa Jumapili, Aprili 27, 2025. Awali refa aliyepangwa kuchezesha mechi hiyo alikuwa ni Amin Omar kutoka Misri na sasa timu hizo zitachezeshwa na Mohamed Maarouf Eid Mansour ambaye naye anatoka...
DIADORA YA ITALIA WALIVYOLAMBA DILI SIMBA KILAINIII…MKATABA NI ‘BAB’ KUBWA NCHI NZIMA..
KAMPUNI ya vifaa vya michezo na viatu, Diadora ya Italia yenye maskani yake mjini Caerano di San Marco imeingia mkataba wa kuitengenezea jezi klabu ya Simba ya Dar es Salaam. Akizungumza leo Jijini Durban, Afrika Kusini Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jayrutty Investment Limited, Joseph Rwegasira amesema kwamba kuanzia msimu ujao Simba itavaa jezi za Diadora. “Wakati tunatangazwa kuingia mkataba huu...
UTAMU WA UEFA KUKUJIA HIVI KARIBUNI….ODDS ZA UBINGWA HIZI HAPA…
Ukiwa unajiuliza ni wapi unaweza kujihakikishia ushindi wa maana, mimi nakwambia chimbo ni moja tuu nalo ni Meridianbet, ambapo Nusu Fainali za kwanza UEFA kupigwa Jumanne na Jumatano. Je nani kuibuka bingwa? Jumatano hii mechi kali kabisa Barcelona atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi. Barca kwanza ndio vinara wa Laliga wakiwa na pointi zao 76, huku...
KUELEKEA MECHI YA CAF KESHO KUTWA….KIBU, MPANZU WAWATIA GANZI WASAUZI….
MECHI ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Stellenbosch dhidi ya Simba itakayopigwa Aprili 27, 2025 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini, imeendelea kugusa hisia za mashabiki huku kukiwa na presha kubwa kambini kwa Stellenbosch. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, Zanzibar, Simba ilishinda bao 1-0...
PESA KUBWA IPO MERIDIANBET LEO…..ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Wakali wa ubashiri Tanzania leo hii Meridianbet wanakwambia hivi nafasi ya wewe kushinda zaidi ya mamilioni ipo hapa. Mechi kibao za ushindi zipo hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti hapa. LALIGA pale Hispania leo hii itaendelea ambapo Sevilla atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya CA Osasuna ambapo nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.60 kwa 3.10. Mara...
40 IMPERIAL CROWN KASINO, SHINDA MKWANJA UKICHEZA….
40 Imperial Crown kasino ya mtandaoni yenye safu tano zilizopangwa katika nguzo nne na una jumla ya mistari 40 ya malipo. Ili kuweza kushinda, ni lazima kuunganisha alama tatu au zaidi za kufanana kwenye mstari wa malipo. Kuwa sehemu ya washindi kwenye mchezo huu kwa kujisajili Meridianbet upate bonasi za kasino na bonasi ya ukaribisho. Wakati unacheza mchezo huu wa...
VODACOM YAZINDUA TWENDE BUTIAMA 2025 KWA LENGO LA KUBORESHA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA
Kwa miaka ishirini na tano, Vodacom Tanzania PLC imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuchochea maendeleo endelevu katika jamii. Msafara wa Twende Butiama wa mwaka 2025 kwa mara nyingine unadhaminiwa na Vodacom na litahusisha msafara wa umbali wa karibu kilomita 1,500 likipita katika mikoa 11 kuanzia tarehe 3 hadi 13 mwezi Julai, na kumalizika kwa kishindo katika kijiji cha Butiama...