KUHUSU UBINGWA MSIMU HUU…..KAMWE AWAPIGA ‘STOP’ MASHABIKI YANGA…..
OFISA Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, ameonya mashabiki wa timu hiyo dhidi ya kushangilia mapema ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, akisema kuwa bado kuna kibarua kigumu katika michezo mitatu iliyosalia. Yanga, ambao wako kileleni mwa msimamo wa ligi, wamebakiza mechi tatu za mwisho dhidi ya Namungo FC, Tanzania Prisons, na Dodoma Jiji FC. Mechi ya mwisho itachezwa...
KISA AHOUA KUKOSA GOLI JUZI MBELE YA WASAUZI…..MO DEWJI ATOA KAULI HII SIMBA…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji, amewataka mashabiki wa timu hiyo kusitisha lawama kwa wachezaji na badala yake kuwaunga mkono katika kipindi hiki muhimu. Akizungumza baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch FC uliochezwa Aprili 20 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex,...
ULIMWENGU WA USHINDI NA MERIDIANBET KASINO| 9 ENCHANTED BEANS….
Zamani kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za kale zenye kufurahisha na kufunza pia, lakini miaka ya hivi karibuni mambo hayo hakuna, lakini kuna mitandao ya kijamii watu wengi wanapata stori na hadithi huko. Kuna hadithi nyingi za kale nzuri kama Sungura na Fisi, Alfu Olela Olela, Mashimo...
AMERICAN ROULETTE MCHEZO RAHISI WA KUBASHIRI GURUDUMU LA NAMBA….
Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa. American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet kwenye kasino ya mtandaoni kutoka...
NGUVU ZA MUNGU WA KIGIRIKI ZEUS ZINAKUPA USHINDI MERIDIANBET KASINO….
Kabla sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya Taifa la Ugiriki, Meridianbet kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni imekuletea mchezo wenye kubeba historia ya Kigiriki unaitwa Magnificient Power Zeus. Mchezo huu wa Kasino ya Mtandaoni upo upande wa sloti ya mtandaoni wenye njia 30 za malipo ambapo utakupatia...
MERIDIANBET YAKUPA NAFASI YA KISHUA – SHINDA SIMU MPYA YA SAMSUNG A25!
Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake kile wanachokihitaji — BURUDANI na ZAWADI za ukweli! Kupitia promosheni yao mpya, sasa unaweza kujishindia Samsung A25 mpya kabisa kwa kucheza mechi zako za mpira kwenye Meridianbet. Kama wewe ni shabiki wa kandanda na unapenda kubashiri kwa ushindi, basi hii ni nafasi yako ya kipekee! JINSI YA KUSHIRIKI: ✅ Ingia au jisajili kwenye Meridianbet ✅ Weka amana na...
MERIDIANBET YAKUPA NAFASI YA KISHUA – SHINDA SIMU MPYA YA SAMSUNG A25….!
Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake kile wanachokihitaji — BURUDANI na ZAWADI za ukweli! Kupitia promosheni yao mpya, sasa unaweza kujishindia Samsung A25 mpya kabisa kwa kucheza mechi zako za mpira kwenye Meridianbet. Kama wewe ni shabiki wa kandanda na unapenda kubashiri kwa ushindi, basi hii ni nafasi yako ya kipekee! JINSI YA KUSHIRIKI: ✅ Ingia au jisajili kwenye Meridianbet ✅ Weka amana na...
MERIDIANBET YAZINDUA PROMOSHENI MPYA – SIMU 16 AINA YA SAMSUNG A25 KUSHINDANIWA.
Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni, imezindua promosheni kabambe inayowapa wateja wake nafasi ya kushinda simu 16 mpya aina ya Samsung A25. Ili kushiriki, mteja anachotakiwa kufanya ni kuweka pesa na kucheza kuanzia TZS 5,000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu ya nje ya nchi. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuongeza furaha kwenye uzoefu wa...
UJIO WA MERIDIANBET MBEZI WANUFAISHA WENGI….
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kurudisha kwa jamii kupitia kampeni zake za Uwajibikaji kwa Jamii. Katika kuunga mkono jitihada za kuhakikisha mazingira safi na salama, Meridianbet imekabidhi vifaa mbalimbali vya usafi kwa wakazi wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam. Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na, mifagio, gloves, Reflectors, na vingine vingi ambapo hivi...
USIYOYAJUA KUHUSU MKATABA MPYA WA SIMBA NA JAYRUTTY
KAMPUNI ya Jayrutty Investment Limited imeahidi kuijenga klabu ya Simba Uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 10,000. Ahadi hiyo imetolewa na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira baada ya Kampuni yake kutambulishwa ndiyo mshindi wa Tenda ya Usambazaji jezi za klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Sh. Bilioni 38.1...