KISA YANGA KUTINGA FAINAL CAF….WACHINA BONGO WATOA TAMKO LAO…
Yanga imeendelea kupokea salamu za pongezi ambapo China nayo imetoa pongezi zake kufuatia timu hiyo kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Salamu za China zimetolewa na Balozi wao wa nchini Tanzania Chen Mingjian kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwapongeza Yanga kwa kufika hatua hiyo ya kihistoria. Sambamba na salamu hizo Balozi Mingjian amewataka Yanga kujitahidi katika mechi za fainali watakapokutana...
KUELEKEA FAINAL YA KOMBE SHIRIKISHO KESHO KUTWA….MAYELE ANAJAMBO LAKE CAF….
Wakati kikosi cha Yanga kikirejea salama nchini kikitokea Afrika Kusini, mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Fiston Mayele, amesema ndoto yake sasa ni kuona wanatwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu. Yanga imetinga fainali za mashindano hayo baada ya kuiondoa Marumo Gallants ya Afrika Kusini wakati USM Alger ya Algeria wao wameitoa ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast. Mayele, alisema inawezekana...
HUU HAPA UKWELI WA SIMBA KUACHANA NA MGUNDA…AONEKANA TANGA KWENYE MECHI ZA COASTAL…
MASHABIKI wa Simba wameingiwa na hofu kutokana na kutoonekana mazoezini kwa kocha msaidizi, Juma Mgunda, huku kukiwa na taarifa za chinichini huenda akatemwa na kurejea kwenye klabu yake ya zamani ya Coastal Union, lakini mwenyewe ameibuka na kutuliza presha hiyo. Hofu ya mashabiki wa Simba ilitokana na kukosekana kwa kocha huyo kwenye mazoezi ya timu hiyo ilikuwa ikijiandaa kucheza na...
JAMBO JIPYA LA YANGA HILI HAPA…SIMBA HAWAJAWAHI KUFIKIA REKODI HII KAMWE…
NI msimu wa kicheko kwa Yanga baada ya muendelezo wa kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali, ikiwemo mechi yao na Singida Big Stars |(SBS) mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), iliyopigwa Uwanja Liti mkoani Singida. Ushindi wa Yanga wa bao 1-0 dhidi ya SBS umeifanya itinge hatua ya ASFC ambapo itakutana na Azam FC iliyoitoa Simba hatua ya nusu...
YANGA NI MIPESA TU…HII HAPA JUMLA YA FEDHA WATAZOVUNA KWA KUINGIA FAINAL TU…
YANGA tayari ipo kwenye fainali za Shirikisho Afrika, baada ya kuwatoa Marumo Gallants ya Afrika Kusini wiki hii. Mabingwa hao wa Tanzania, wamejikakikishia kiasi cha Dola 800,000 (zaidi ya Sh 1.8 Bilioni) kwa kutinga fainali na kama itafanikiwa kuinyoosha USM Alger ya Algeria watakaokutana nao basi, itazoa Dola 2 Milioni (zaidi ya Sh 4.7 Bilioni). Lakini kama unadhani Yanga itavuna kiasi...
CHAMA NA SIMBA KWA MSIMU HUU NDIO BASI TENA….TFF WATIBUA KILA KITU…
NYOTA wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh 500, 000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Ruvu Shooting, Abalkassim Suleiman. Taarifa liyotolewa leo na Bodi ya Ligi (TPLB) ilieleza tukio hilo lilitokea wakati wachezaji hao wakiwa hawagombei mpira jambo ambalo lilisababisha mwamuzi wa mchezo huo kushindwa kuona. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa...
MERIDIANBET WAZIDI KUFANYA MAAJABU SOKA LA BONGO…WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO MABIBO..
Ikiwa ni siku nyingine kabisa Kampuni ya kubashiri Meridianbet ilipata wasaa mzuri wa kukutana na timu ya mpira ya Mabibo Boys na kuwapatia vifaa vya michezo kama vile jezi na mipira ambayo itawasaidia wanapokuwa wanacheza mechi mbalimbali. Ugawaji huo wa vifaa vya michezo ulifanywa na timu nzima ya Meridianbet ambayo ilifunga safari moja kwa moja mpaka pale inapopatikana timu hiyo...
KISA MAFANIKO YA CAF MSIMU HUU…AS VITA WAANZA KUJIVUTA YANGA MDOGO MDOGO…
Kocha Msaidizi wa AS Vita ya DR Congo, Raoul Shungu amewapongeza Yanga baada ya kufanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini amewaonya mastaa wa timu hiyo kwa kuwaambia kama wanataka kombe hilo basi wahakikishe wanajitoa kwa uwezo wao wote. Shungu ametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kufuzu fainali ya michuano hiyo baada ya kuiondosha Marumo Gallants ya Afrika Kusini...
TUKIACHA UNAFIKI….SIMBA ‘MCHAWI’ WENU MSIMU HUU NI HUYU HAPA…NI ‘KIRUSI’ HASWAAA..
Pengine hizi zitabaki kuwa ni fikra zangu tu! Lakini yote ilikuwa ni usajiri tu! Ukiitizama Yanga SC ambayo iliwachukuwa takribani miaka 5 hadi 4 kurudi katika ubora wake na kushinda mataji mbele ya Simba na Azam, ilikuwa ni usajiri tu! Kipindi kile Simba anashinda mataji ya Ligi Kuu Mara 4 mfululizo mbele ya Yanga SC, ilikuwa ni usajili tu! Kule Yanga...
STAA WA VIPERS ALIYEWAKATILI TP MAZEMBE KUTUA SIMBA…MOSES PHIRI ‘APIGWA PINI’…
Biashara asubuhi, ndio maneno ya mabosi wa Simba ambao timu yao imeshindwa kufikia malengo msimu huu kwa kuanza mchakato wa usajili wa wachezaji wapya mapema lakini pia wakiweka wazi straika, Moses Phiri, haondoki. Taarifa kutoka Simba zinasema tayari mazungumzo na baadhi ya wachezaji akiwamo winga, Martin Kiiza, golikipa Alfred Mudekereza wote wa Vipers ya Uganda na Sospeter Bajana wa Azam...