IBRAHIM ‘BACCA’..UNAAMBIWA MPAKA CHIPS KAUZA…AFUNGUKA ‘MASHOGA’ KUMSUMBUA INSTA…

0
Habari za Yanga SC

Beki wa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' (24) licha ya jina lake kupata umaarufu haumfanyi atoke kwenye misingi ya dini ya Kiislamu kwani anajifunza kuishi vyema zaidi ya alivyokuwa awali. Bacca ni mchezaji mtulivu anajipambanua ajibu jambo gani na aache lipi wakati wa mahojiano na Mwanaspoti yaliyofanyika hivi karibuni Dar es Salaam akifunguka mengi ya...

YANGA WATUA BONGO KIBABE….INJINIA HERSI ATOA NENO LA KISHUJAA…SAFARI NDIO KWANZAA INAANZA..

0
Habari za Yanga leo

Yanga imewasili alfajiri leo alfajiri ikitokea nchini Afrika Kusini walikoenda kufuzu fainali ya kwanza ya kihistoria ya klabu hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kuna kauli ya jeuri wameitoa na kama wewe ni mtani wao basi utasonya kwa hasira, huku ikigoma kupangua ratiba ya mechi zao. Yanga ina mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)...

ISHU YA MANULA KURUDI CHAMAZI..JEMEDARI AWAIBIA SIRI MABOSI AZAM…”THAMANI YAKE NI BIL 2.3″..

0
Tetesi za Usajili Simba

Kipa wa Simba SC, Aishi Manula bado ana mkataba wa miaka miwili na Simba SC kwa sasa hakuna klabu iliyomsajili au kuhitaji huduma ya kipa huyo bora kutoka NBC Premier league. Huku meneja wa golikipa Huyo, Jemedari Said amesema kuwa Manula bado ana mkataba wa miaka miwili na Simba ambao utaisha June 2025 kama kuna klabu yoyote inayomtaka Manula kuna...

KUHUSU ISHU YA OFA YA GOR MAHIA KWA ONYANGO….SIMBA ‘WAIJIBU KITAJIRI’…WATAKA DAU NONO…

0
Tetesi za Usajili Simba

Imefahamika kuwa Uongozi wa Simba SC, umegomea ofa kutoka Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya ambayo imeonesha nia ya kumuhitaji beki wa timu hiyo, Joash Onyango. Ofa hiyo inadaiwa kutua Msimbazi, baada ya siku chache tangu tetesi zizagae kumuhusu beki huyo raia wa Kenya, ambaye alidaiwa kuandika barua ya kuomba kuondoka Simba SC mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka Kenya...

KASI YA MAYELE YASHTUA AFRIKA….MBRAZILI AITA MASTAA WOTE SIMBA…SAMIA AONGEZA DAU…

0
Gazeti la MwanaSpoti la leo

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Ijumaa ya 19/5/2023.

KISA MAFANIKIO YA YANGA CAF…TRY AGAIN NAYE ASHINDWA KUJIFICHA AISEE….’ATAPIKA’ YA MOYONI…

0
Habari za Simba leo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’, amewapongeza watani zao Yanga kwa kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika n akusema mafanikio hayo yamewapa somo. Kiongozi huyo amesema somo ambalo wamelipata kwenye mafanikio ya Yanga ni kusajili wachezaji bora wenye uwezo na uzoefu wa mashindano ya kimataifa na tayari wameuanza mchakato huo. “Tumedhamiria kufanya usajili...

BAADA YA KUTINGA FAINAL CAF…MABOSI YANGA WAKUNJA MIKONO KIBOSI KISHA WAKASEMA HAYA…

0
Habari za Yanga SC

Uongozi wa klabu ya Young Africans umeanza maandalizi na mipango ya kuhakikisha msimu ujao wanatisha zaidi, baada ya kufanya vizuri katika michuano ya ndani na nje ya Tanzania msimu huu 2022/23. Young Africans wamekuwa bora baada ya kufanikiwa kutinga Fainali Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kuifunga Marumo Gallants ya Afrika Kusini jumal ya mabao 4-1, baada ya mchezo wa...

KUELEKEA USAJILI MPYA…MBRAZILI SIMBA ANOA PANGA…AWAPA MABOSI MSIMAMO WAKE…

0
Habari za Simba SC

Wakati Uongozi wa Simba SC ukijizatiti kuwa na kikosi bora kwa msimu ujao wa 2023/24, Kocha Mkuu wa klabu hiyo ya Msimbazi Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema atafanya mapinduzi makubwa katika mchakato wa usajili kwa ajili ya kuboresha kikosi chake. Robertinho amesema wanajua walipokosea na wanafanya tathmini ya kila idara ili warekebishe makosa na kujenga kikosi imara kitakachowapa mafanikio. Robertinho amesema kwa...

KIUTANI UTANI TU….JAMAA KASHINDA MIL 20 CHAP KUPITIA CASINO YA MERIDIANBET YA ‘PIGGY PARTY’…

0
Meridianbet casino

Leo Meridianbet inafuraha kutangaza habari njema kwamba mteja mmoja wa Meridianbet ameshinda Jackpot ya kuvutia ya Tsh 20,000,000/= katika mchezo unaoitwa "Piggy Party." Na hii ni habari ya kusisimua na inaonyesha jinsi Meridianbet inavyowapatia wateja wake fursa ya kushinda kwa kucheza michezo ya kasino mtandaoni. "Piggy Party" ni mchezo maarufu unaopatikana kwenye michezo ya sloti ya Meridianbet na mchezo huu...

KISA USHINDI WA YANGA JANA…NCHI NZIMA YATETEMA….MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA…

0
Habari za Yanga SC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameitumia salamu za pongezi klabu ya Yanga kwa kuingia Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. “Pongezi za dhati kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Mmeandika historia na kuipa nchi yetu heshima kubwa sana. Nawatakia kila la kheri katika mchezo wenu wa...