ISHU YA MANZOKI NA SIMBA SC….IMEBAKI HIVII TUU YANI….JAMBO LINAENDA KIMYA KIMYA….
Imefahamika kuwa, mshambuliaji wa Dalian Pro ya China, Cesar Manzoki raia wa Afrika ya Kati, anatarajiwa kuwasili Tanzania wiki hii kujadiliana na Simba SC kuona uwezekano wa kujiunga na kikosi hicho. Manzoki mwenye asili ya DR Congo, ni kati ya washambuliaji wanaotajwa kuwaniwa vikali na timu hiyo, katika kukiimarisha kikosi chao kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo. Tangu dirisha dogo...
BAADA YA KUISHIKA BONGO…MANDONGA AHAMISHIA MAJESHI KENYA….ISHU NZIMA IKO HIVI…
Karim 'Mandonga' Said ni kama amepewa bondia wa levo yake, nchini Kenya atakapopanda ulingoni Januari 14 kuzichapa pambano lisilo la ubingwa la uzani wa middle. Mandonga atazichapa Denzel Onyango Okoth, jijini Nairobi, ikiwa ni pambano lake la kwanza la kimataifa tangu alipoingia kwenye masumbwi 2018. Bondia huyo mwenye tambo, ni kama amepewa bondia 'saizi' yake kwenye ubora, wote wakiwa na nyota...
SIMBA KUSHUSHA FUNDI MPYA…KOCHA MBRAZILI AANZA NA MGUNDA…AMTAJA KIBU…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa ya 6/1/2023
BAADA YA SIMBA SC KUTEMA TONGE ZNZ….AZAM FC WAITUMBULIA MACHO YANGA SC…
Azam FC imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Jamhuri ambayo imepoteza michezo yote kwenye kundi lao. Azam FC ipo kundi A na timu ya Malindi iliyomaliza nafasi ya pili kwa kukusanya pointi nne sawa na kinara wa kundi tofauti ni mabao ya kufunga na Jamhuri ambao haina...
KISA BARBARA KUJIONDOA SIMBA SC….ALLY KAMWE AFUNGUKA ALIVYOPATA SHIDA KUELEWEKA…
Afisa Habari wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Ally Shaban Kamwe, ameshindwa kuvumilia tukio lililomshawishi Baba yake mzazi kumtolea maneno mazito, baada ya Taarifa ya kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez. Ally amezungumzia tukio hilo kuwa miongoni mwa matukio makubwa ambayo ameyashuhudia katika Siku 100 tangu alipoanza kazi Young Afrucans kama Mkuu wa Kitengo cha...
KUHUSU ISHU YA KUMSAJILI BOBOSI NA MANZOKI…SIMBA SC WAANIKA UKWELI ULIVYO…
Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Simba SC wameombwa kuwa watulivu na kuuamini Uongozi wao katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la Usajili, ambacho kimekua na Tetesi nyingi kupitia Mitandao ya Kijamii. Simba SC imekua ikitajwa sana katika Mitandao ya Kijamii kwa kuhusishwa na Mipango ya Usajili wa baadhi ya Wachezani Wazawa na wale wa Kimataifa, lakini Uongozi umekua ukiwataka...
DILI LA OPUKU KUTUA SIMBA SC LAFIA KWENYE MAKARATASI…ISHU NZIMA IKO HIVI….
Bodi ya Wakurugenzi Simba SC chini ya Mwenyekiti wake Salim Abdallah ‘Try Again’ wapo kwenye mpango wa kushusha mashine tatu mpya na baada ya hapo watafunga zoezi la usajili wa Dirisha Dogo. Ukiachana na kuboresha eneo la Kiungo Mshambuliaji kwa kumleta, Saido Ntibazonkiza aliyeonyesha makali yake mchezo wa kwanza, Simba SC ilikuwa inataka kuleta mastraika wenye uwezo wa kufunga ambapo...
KISA UJIO WA KOCHA MPYA ….AFENDE SELE ASHINDWA KUJIZUIA…ADAI SIMBA SC KUNA UPIGAJI…
Msanii Mkongwe na Gwiji wa Muziki wa Kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’ amezibwatukia Klabu za Simba SC na Young Africans kwa kuzitaja kama makaburi ya Soka la Bongo. Afande Sele ambaye si mara kwa mara zote husikika akizunguza Soka la Bongo, lakini anapotoa kauli ama andiko basi huwa na mguso kwa wahusika na kuzua mjadala mzito katika jamii ya...
BAADA YA TETESI KUWA NYINGI….OKWA AVUNJA UKIMYA ISHU YA KUTAKA KUACHWA SIMBA SC ….
Kiungo kutoka nchini Nigeria Nelson Esor Okwa amekanusha taarifa za kuwa mbioni kuachana na Simba SC katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la usajili. Okwa amekua akitajwa mara kwa mara kuwa kwenye orodha ya wachezaji watakaoachwa ama kuondoka Simba SC kwa mkopo ili kupisha usajili wa wachezaji wengine watakaosajiliwa kipindi hiki. Kiungo huyo amekanusha taarifa hizo akiwa visiwani Zanzibar ambako Simba...
UKWELI MCHUNGU….SAKATA LA FEI TOTO LIMEONYESHA TASWIRA HALISI YA YANGA SC…
Kuna vitu vingine kwenye soka letu vinachekesha sana. Ni kama haya mambo yanayoendelea pale Yanga SC. Ni mambo ya ajabu kuliko ajabu yenyewe. Wiki iliyopita ilimalizika kwa sakata la Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuomba kuvunja mkataba na Yanga SC. Ulikuwa mshtuko mkubwa. Fei Toto anaombaje kuondoka Yanga SC mwenyewe? Ni jambo ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu. Pia limeacha maswali...