SIMBA SC WASHTUKIA MCHEZO M’BAYA KWA INONGA…WAMPIGA STOP FASTA…

0
Habari za Simba SC

Wakati mabosi wa Simba SC wakiwa kwenye harakati za kuboresha kikosi chao katika dirisha hili dogo la usajili kuna wachezaji watatu hadi sasa ni suala la muda tu kutua ndani ya timu hiyo, lakini wakisema Henock Inonga haondoki kwa sasa. Wakati hilo likiendelea Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ alisema hakuna mchezaji yeyote anayetoa mchango...

KAZE AWATANGAZIA BALAAH AZAM FC….ISHU YA NKANE KUJULIKANA LEO…

5
Habari za Michezo Bongo

Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Cedrick Kaze amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na mastaa wake kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union akisema ni chachu ya kuendeleza ushindi kwenye mchezo dhidi ya Azam FC, Jumapili. Yanga SC juzi iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union kwenye Ligi Kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mechi kati ya Azam...

KOCHA WA CHELSEA KUWAPA MAUJANJA CHAMA NA PHIRI….ISHU IKO HIVI..

0

Chama cha Soka nchini Zambia ‘FAZ’ kimemtangaza Kocha wa zamani wa Klabu ya Chelsea Avram Grant kuwa Mkuu wa Benchi la Ufundi la Timu ya Taifa ya Nchi hiyo ‘Chipolopolo’. Grant ametangazwa kushika hatamu, akichukua nafasi ya Aljosa Asanovic Raia wa Croatia aliyedumu kazini tangu Januari 2022, akilitumikia Taifa hilo katika michezo 11, akishinda minne, sare miwili na kupoteza mitano. Kocha...

BAADA YA AZAM FC KUTEMANA NAYE…AJIB AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA A-Z YOTE YALIVYOKUWA…

0
Tetesi za usajili bongo

Baada ya kuondoka Azam FC, Kiungo Mshambuliaji Ibrahim Ajib kwa mara ya kwanza amefungua kinywa chake na kueleza matarajio aliojiwekea, katika sehemu ya msimu wa 2022/23 iliyosalia. Mwanzoni mwa juma hili Azam FC ilitbibitisha kuachana na Kiungo huyo wa zamani wa klabu za Simba SC na Young Africans zote za Dar es salaam, na kumtakia kila la kheri katika makazi...

TAKWIMU ZINAONGEA….LOMALISA AANZA KUILIPA YANGA SC…KAZI YAKE SI YA KITOTO…

0

Lilikuwa suala la muda kwa beki wa kushoto wa Yanga SC, Joyce Lomalisa kunyamazisha kishindo cha mashabiki waliokuwa wanadhani usajili wake wamepigwa, kwani hakuanza kwa kiwango kikubwa baada ya kujiunga na timu hiyo. Lomalisa alijunga na Yanga SC msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Bravos do Maquis na matarajio yao yalikuwa kumuona anaingia moja kwa moja kikosi cha...

SIMBA SC WAPEWA MCHONGO WA UBINGWA BONGO…WATAKAO SAJILIWA HAWA HAPA…

0
Habari za Simba

Wachezaji wa zamani wa Simba SC wameitaka klabu hiyo kusajili wachezaji wawili muhimu ambao ni mshambuliaji na kiungo mchezeshaji ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili mwakani. Simba SC juzi ililazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu na kufikisha pointi 38 huku ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi nyuma ya vinara...

FEI TOTO AVUNJA MKATABA YANGA SC…ALIPA MIL 100 KUWA HURU KUTUA AZAM FC…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi ya 24/12/2022

DILI LA MIQUISSONE YANGA SC LAACHWA MEZANI KWA NABI…ISHU NZIMA IKO HIVI…

0

Kocha wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga SC, Nasreddine Nabi amesusiwa kazi ya kufanya maamuzi nani anapaswa kukatwa katika kipindi hiki cha Usajili wa Dirisha Dogo, ili kupisha maingizo ya Wachezaji wawili wa Kimataifa wanaopigiwa chepuo kusajiliwa Klabuni hapo ambapo miongoni mwao ni Luis Miquissone. Yanga SC kupitia kwa Rais wake Injia Hersi Said tayari imeshathibitisha itasajili wachezaji wawili...

POLISI WAAMUA ‘KUMKAZIA’ MAKAMBO…LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA…

0
Tetesi za Usajili Bongo

Imefahamika kuwa Klabu ya Polisi Tanzania imewasilisha ombi la kumsajili kwa Mkopo Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Young Africans Heritier Makambo katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la Usajili. Tayari Disrisha Dogo la Usajili msimu huu 2022/23 limeshafunguliwa tangu Desemba 16 na litafungwa rasmi Januari 15-2023, huku timu zinapaswa kusajili kikanuni ni zile za Ligi Kuu, Championship, First...

KASEKE AIBUKA NA HILI JIPYA KUHUSU KAGERE…AANIKA A-Z SIRI ZAKE…

0
Kaseke akiwa Singida Big Stars

Winga machachari wa Singida Big Stars, Deus Kaseke amefichua kucheza na mastaa wengi kikosini akiwamo straika Meddie Kagere imemrahisishia sana kazi na watafanya makubwa msimu huu. SBS imekuwa na matokeo mazuri ikiwa nafasi nne za juu kwa pointi 30 huku Kagere akiongoza kikosini kwa idadi kubwa mabao (matano) tangu ajiunge na matajiri hao wa mkoani Singida. Hata hivyo, katika mechi nyingi,...