MOGELLA:- CHAMA ANAENDELEZA UFALME WAKE SIMBA SC…HATA OKWI ALIFANYA…

0
Chama na Simba SC Msimu Huu

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama ameweka rekodi yake Ligi Kuu akihusika kwenye mabao mengi, huku nyota wa zamani wa timu hiyo, Zamoyoni Mogella akisema anachokifanya nyota huyo ni kuendeleza ufalme wake. Chama ambaye kwa sasa ndiye kinara wa pasi za mabao Ligi Kuu akiwa nazo tisa na mabao matatu baada ya michezo 16, pia ana uwezo wa kucheza...

AZAM FC BADO WAENDELEA KUGANDANA NA DILI LA FEI TOTO…MKAKATI WAO UKO HIVI..

0

Azam FC imepanga kufanya usajili wa kishindo katika dirisha hili dogo kwa kusajili nyota wenye uwezo huku kiungo wa Yanga, Feisal Salum ' Fei Toto' akipaniwa vilivyo kusainishwa klabuni hapo. Dirisha dogo la usajili kwa timu za Ligi Kuu Bara, Championship na First League, limefunguliwa tangu Desemba 16, mwaka huu huku likitarajiwa kufungwa Januari 15, mwakani. Kaimu Ofisa Habari wa Azam...

ISHU YA YANGA SC NA JOB YAFIKIA MWISHO…DILI LA KUTAKIWA NA WAMISRI UKWELI UKO HIVI…

0
Habari za Yanga SC

Imefahamika kuwa, Yanga SC imefanikisha mpango wa kumbakisha beki wake tegemeo hivi sasa katika kikosi cha timu hiyo chini ya Kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye ni Dickson Job. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu taarifa zienee za beki huyo kuwepo katika mazungumzo na Klabu ya Al Ittihad ya nchini Misri. Ittihad hivi sasa inanolewa na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia,...

WAKATI TETESI ZIKIZIDI…SINGIDA BIG STARS YAWAGOME WAWA NA KAGERE…

0

Benchi la ufundi la Singida Big Stars, limesema licha ya ofa zilizopo kwa baadhi ya nyota wao, lakini halitakubali kuwaruhusu mastaa waliosajiliwa kimkakati akiwamo straika, Meddie Kagere na beki Pascal Wawa wote kutoka Simba. Timu hiyo ambayo imeanza kuongeza nguvu kwa kumsajili winga wa kushoto, Nickson Kibabage, kutoka Mtibwa Sugar, imeonekana kuwa imara kwenye ligi kuu ikiwa nafasi ya nne...

FIFA KUJA NA MPANGO WA KUFUMUA MFUMO WA KOMBE LA DUNIA…

0

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ana nia ya kufanya Kombe la Dunia kila baada ya miaka mitatu katika siku zijazo na pia anataka mashindano hayo yafanyike wakati wa baridi tena. Kombe la Dunia la 2022 halikuwa na mfano zaidi yake, huku joto la majira ya kiangazi la Qatar likiwalazimisha kuandaa msimu wa baridi badala yake, katikati mwa msimu wa vilabu...

TENGENEZA MKWANJA MSIMU WA SIKUKUU NA AVIATOR SUMMER FLIGHT…

0

Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapojivinjari viunga vya kasino bomba ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator Summer Flight. Ni Promosheni kabambe kabisa msimu huu wa Sikukuu za Krismas na Mwaka mpya ambayo inaanza Disemba 23 mpaka Disemba 31, 2022. Huu ni mchezo rahisi unaokupa nafasi kubwa ya ushindi kwa kupaa angani huku ukijipatia mvua ya...

SIMBA WASHTUKA …WAMPELEKA ‘MTAALAMU’ MWANZA…LOMALISA APINDUA MEZA YANGA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.

KUHUSU USAJILI MPYA NA ISHU YA MANZOKI….SIMBA WAIBUKA NA MAJIBU HAYA ‘MUJARAB’..

0

Maumivu ya kukosa mataji kwa mabosi wa Simba SC, bado yanaishi mioyoni mwao, jambo linalowapa hasira kupambana kwa hali na mali mwaka huu kurudisha heshima iliyopotea. Msimu huu walianza kwa kupoteza Ngao ya Jamii waliponyooshwa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, ni mataji mawili yamebaki wakiyawania kwa sasa hapa nchini. Kombe la Shirikisho la Azam Sports na Ligi Kuu Bara. Pia...

KISA KUSHINDWA KOMBE LA DUNIA…CISSE AUNDIWA ‘ZENGWE’ SENEGAL…

0

Inaelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Senegal ‘Simba wa Teranga’ Aliou Cisse alikuwa anafikiria kuachana na timu hiyo, baada ya kutolewa katika Fainali za Kombe la Dunia 2020 nchini Qatar. Senegal ilitolewa Hatua ya 16 Bora kwa kufungwa na England 3-0, baada ya kumaliza nafasi ya Pili kwenye Kundi A lililokuwa na timu za Uholanzi, Ecuador na...

KISA KOMBE LA DUNIA…ARGENTINA KUWEKA SURA YA MESSI KWENYE NOTI ZAO….

0

Serikali ya Argentina inafikiria kuweka sura ya Mshambuliaji na Nahodha wa Kikosi cha Timu ya Taifa Lionel Messi kwenye Noti za Nchi hiyo, baada ya Mshindi huyo mara 7 wa Ballon d’or kuiongoza Argentina kutwaa Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Kwa mujibu wa gazeti la El Financiero, Maafisa wa bodi ya usimamizi wa fedha Nchini humo wanatafuta njia za...