MASTAA YANGA WAANZA KUKINUKISHA….MORRISON NAYE NDANI…

0
Habari za Yanga

Kikosi cha Timu ya Yanga jana Alhamisi, Desemba 1, 2022 kimeanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons kambini Avic Town, Kigamboni dar es Salaam. Awali, wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja baada ya Kutoka jijini Mbeya Kwenye mchezo dhidi ya Ihefu sc ambao walipoteza kwa kufungwa mabao 2 kwa 1. Aidha, baadhi ya wachezaji tegemeo waliokuwa majeruhi katika kikosi hicho...

KIWANGO CHA BOCCO CHAWAVURUGA MABOSI MSIMBAZI…WASHINDWA KUAFIKIANA ISHU YA KUACHANA NAYE…

0
Habari za Simba SC

Nahodha John Raphael Bocco anatajwa kuwavuruga viongozi na mashabiki wa Simba kufuatia kufunga magoli manne katika mechi tatu za Simba za hivi karibuni ambapo alifunga magoli 3 dhidi ya Ruvu Shooting na goli 1 dhidi ya Polisi Tanzania kule Moshi. Kabla ya mechi hizo John Bocco aliyeipa mafanikio makubwa timu ya Simba akitokea Azam FC hakufunga goli lolote toka mwanzo...

MGUNDA : YANGA KUFUNGWA KUMETUAMSHIA ARI YA UBINGWA…

0
Habari za Simba

Nyota wa Simba walirejea mazoezini kwa siku mbili na jana walitua  Tanga kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union, huku kocha Juma Mgunda akizungumzia matokeo ya mechi yao na Polisi na kupasuka kwa Yanga mbele ya Ihefu yameamsha ari mpya ya ubingwa. Simba ilishinda mabao 3-1 ugenini dhidi ya Polisi mechi iliyopigwa mjini Moshi, huku Yanga ikipasuka...

TZ PRISONS KULAMBA MILIONI 20 CASH WAKIIFUNGA YANGA JUMAPILI HII….

0

Wadhamini wa ‘wajelajela’ Tanzania Prisons ya Mbeya, Silent Ocean, wametoa ahadi ya milioni 20 kwa wachezaji wa timu hiyo ikiwa watafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Yanga SC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara siku ya Jumapili tarehe 4 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Tanzania Prisons waliopo nafasi ya 11 wakiwa na point 15 baada ya...

NABI : HAWA SIMBA WATAANZA KUSHINDA MECHI ZAO KWA KASI…

0
Habari za Yanga SC

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga juzi jioni walikiwasha na Ihefu kwenye Uwanja wa Mbarali, Mbeya na matokeo kama ulivyoyaona. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesisitiza kwamba huu ndiyo muda wa kukusanya pointi za ubingwa kwani kwenye mzunguko wa pili upepo utabadilika. Kocha huyo anayesaka rekodi ya kipekee na Yanga msimu huu ametabiri kwamba Simba watakuja na nguvu ya hatari...

HII INAITWA KIMYA KIMYA…TARATIIBUU…AZAM NAO WAJIINGIZA KWENYE MAISHA YA SIMBA NA YANGA…

0
Habari za Azam FC

Azam FC inaonekana kuupania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutokana na matokeo mazuri wanayoendelea kuyapata hadi sasa huku kiungo wa timu hiyo, Isah Ndala akisema ubingwa ndiyo lengo lao msimu huu. Azam msimu huu imeonyesha ushindani mkubwa kwenye Ligi sambamba na kufanya usajili mkubwa kwa kusajili wachezaji wenye viwango vizuri kama Ndala, James Akaminko, Tape Dinho, Kipre Junior ili kuongeza...

CHAMA AISHIKA PABAYA SIMBA SC…MABOSI WAPAGAWA …KAMBOLE NA YACOUBA WAITWA YANGA FASTA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Ijumaa.

PAMOJA NA IHEFU KUWASAIDIA JUZI…SIMBA WAENDELEA KUWEWESEKA NA YANGA…

0
Habari za Simba SC

Yanga ipo kileleni mwa amsimamo wa Ligi Kuu Bara na ilikuwa na pointi 32 ikiwa nyuma michezo miwili kumaliza raundi ya kwanza inayotakiwa zichezwe mechi 15, huku Simba ikiwa na mchezo mmoja. Yanga kabla ya mchezo dhidi ya Ihefu ilikuwa imefikisha michezo 49 bila kufungwa, ambapo hadi sasa msimu huu ina sare mbili, Simba mechi 13 ina sare nne, imefungwa...

PAMOJA NA KUFUNGWA NA IHEFU JUZI…YANGA KUFANYA ‘BONGE LA PARTY’ KUSHEREKEA ‘UNBEATEN’…

0

Yanga SC, inatarajia kufanya bonge moja la pati la kusherehekea kucheza mechi 49 bila kupoteza (unbeaten). Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe ameyasema hayo leo Desemba Mosi, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM kuelekekea mchezo wao wa Jumapili (Desemba 4) dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar. "Tunakwenda kufanya bonge la pati, yale mliokuwa mnaona sijui...

AHMED ALLY: ‘UNBEATEN’ YA YANGA ILIKUWA NI MATUSI KWA SOKA LA NCHI…

0

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amewaponda wapinzani wao Yanga baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Klabu ya Ihefu FC yenye makazi yake Mbalali Mkoani Mbeya. “Unbeaten yenu ilijaa magoli mengi ya offside na Penati za gubu la wifi. Hata jana tayari mlishatengeneza unbeaten ya offside, mfungaji wenu alikua kasimama mbele peke yake kama dereva wa...