NABI : HAWA SIMBA WATAANZA KUSHINDA MECHI ZAO KWA KASI…

0
Habari za Yanga SC

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga juzi jioni walikiwasha na Ihefu kwenye Uwanja wa Mbarali, Mbeya na matokeo kama ulivyoyaona. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesisitiza kwamba huu ndiyo muda wa kukusanya pointi za ubingwa kwani kwenye mzunguko wa pili upepo utabadilika. Kocha huyo anayesaka rekodi ya kipekee na Yanga msimu huu ametabiri kwamba Simba watakuja na nguvu ya hatari...

HII INAITWA KIMYA KIMYA…TARATIIBUU…AZAM NAO WAJIINGIZA KWENYE MAISHA YA SIMBA NA YANGA…

0
Habari za Azam FC

Azam FC inaonekana kuupania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutokana na matokeo mazuri wanayoendelea kuyapata hadi sasa huku kiungo wa timu hiyo, Isah Ndala akisema ubingwa ndiyo lengo lao msimu huu. Azam msimu huu imeonyesha ushindani mkubwa kwenye Ligi sambamba na kufanya usajili mkubwa kwa kusajili wachezaji wenye viwango vizuri kama Ndala, James Akaminko, Tape Dinho, Kipre Junior ili kuongeza...

CHAMA AISHIKA PABAYA SIMBA SC…MABOSI WAPAGAWA …KAMBOLE NA YACOUBA WAITWA YANGA FASTA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Ijumaa.

PAMOJA NA IHEFU KUWASAIDIA JUZI…SIMBA WAENDELEA KUWEWESEKA NA YANGA…

0
Habari za Simba SC

Yanga ipo kileleni mwa amsimamo wa Ligi Kuu Bara na ilikuwa na pointi 32 ikiwa nyuma michezo miwili kumaliza raundi ya kwanza inayotakiwa zichezwe mechi 15, huku Simba ikiwa na mchezo mmoja. Yanga kabla ya mchezo dhidi ya Ihefu ilikuwa imefikisha michezo 49 bila kufungwa, ambapo hadi sasa msimu huu ina sare mbili, Simba mechi 13 ina sare nne, imefungwa...

PAMOJA NA KUFUNGWA NA IHEFU JUZI…YANGA KUFANYA ‘BONGE LA PARTY’ KUSHEREKEA ‘UNBEATEN’…

0

Yanga SC, inatarajia kufanya bonge moja la pati la kusherehekea kucheza mechi 49 bila kupoteza (unbeaten). Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe ameyasema hayo leo Desemba Mosi, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM kuelekekea mchezo wao wa Jumapili (Desemba 4) dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar. "Tunakwenda kufanya bonge la pati, yale mliokuwa mnaona sijui...

AHMED ALLY: ‘UNBEATEN’ YA YANGA ILIKUWA NI MATUSI KWA SOKA LA NCHI…

0

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amewaponda wapinzani wao Yanga baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Klabu ya Ihefu FC yenye makazi yake Mbalali Mkoani Mbeya. “Unbeaten yenu ilijaa magoli mengi ya offside na Penati za gubu la wifi. Hata jana tayari mlishatengeneza unbeaten ya offside, mfungaji wenu alikua kasimama mbele peke yake kama dereva wa...

TETESI ZA USAJILI: KUHUSU ISHU YA KUTAKIWA SIMBA…NASHON AANIKA MCHONGO WOTE JINSI ULIVYO…

0

Simba wameanza kuweka mipango sawa ya kusajili dirisha dogo, yapo majina yanatajwa kujadiliwa kwenye vikao vyao ili kukiboresha kikosi hicho na nje na Ligi Kuu Bara kina majukumu ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kati ya majina hayo, kuna jina la kiungo mkabaji wa Geita Gold, Kelvin Nashon ambaye halikuanza kutajwa leo wala jana ni tangu dirisha kubwa hata watani wao...

KISA YANGA KUFUNGWA…KAMWE AWASHUKIA WAANDISHI WA HABARI KWA KUIPENDELEA IHEFU…

0
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amewatolea uvivu waandishi wa habari kwa kusema, wameshindwa kuripoti vizuri rekodi yao ya unbeaten na badala yake, wameungana kuishangilia Ihefu iliyopata ushindi dhidi ya mabigwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kamwe ametoa kauli hiyo leo Desemba Mosi, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM akinadi mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons...

SIMBA HAITANII…WAMGANDA MKALI WA MIASISTI..MGUNDA MENO NNJE…YANGA WADAI ‘UNBEATEN’ SIO UBINGWA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo December mosi.

BAADA YA ‘KUTOBOLEWA JUZI’…YANGA SASA WAPUMUA…’PRESHA’ YA ‘UNBEATEAN’ ILIWANYIMA RAHA…

0
Habari za Yanga leo

Yanga wameagana na presha ya unbeaten na sasa wanaingia kwenye presha ya ubingwa. Kuna wakati presha ya unbeaten ilikuwa inawaondoa wachezaji kwenye focus ya ubingwa kiasi kwamba makocha walilazimika kuwakumbusha wachezaji na mashabiki kwamba wafocus kwenye ubingwa na sio unbeaten kwa sababu hakuna kombe la unbeaten. Mara kadhaa Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze, alisisitiza kwamba hawatafuti rekodi bali...