BAADA YA RONALDO KUWACHANA HADHARANI…MABOSI WAJIFIKIRIA KUIPIGA BEI MAN UTD…
Wamiliki wa Klabu ya Manchester United, Familia ya Glazer wamesema wanafikiria kuuza Klabu hiyo ya England, huku wakiendelea kusaka mbinu mbadala. Familia hiyo kutoka nchini Marekani waliinunua Klabu ya Manchester United mwaka 2005 kwa thamani ya Pauni Milioni 790 sawa na Dola za Marekani Bilioni 1.34, kwa wakati huo. Maamuzi ya kutangaza wanafikiria kuiuza klabu hiyo yenye Maskani yake Makuu Old...
KOCHA MPYA SIMBA KUANZA KAZI NA MWEZI WA MECHI NGUMU….ANASIKU 34 ZA KUJITETEA …
Siku yoyote kuanzia leo Simba itamtambulisha Kocha Mkuu mpya raia wa Ureno lakini akitua tu atakutana na siku 34 ngumu ambazo zinaweza kumbeba au kumuweka katika wakati mgumu ndani ya kikosi cha timu hiyo. Ndani ya siku hizo, kocha huyo akisaidiwa na Juma Mgunda atakuwa na jukumu la kuiongoza Simba katika mechi sita mfululizo za Ligi Kuu itakazocheza kwenye viwanja...
TETESI ZA USAJILI LEO: TAJIRI CHELSEA ATAKA KUMBEBA RONALDO ….
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo yupo njia panda kuhusu uhamisho wa kwenda Newcastle United au klabu ya Saudi Arabia Al-Nassr kufuatia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 kuondoka Manchester United kwa makubaliano na klabu hiyo (Marca - in Spanish) Manchester United imeokoa mishahara ya takriban £15.5m baada ya kufikia makubaliano na Ronaldo kumaliza mkataba wake kabla ya kumalizika majira...
CHUKUA HII MWANASIMBA….ILE ISHU YA SAIDO NTIBAZONKIZA KUTUA MSIMBAZI UKWELI UKO HIVI…
Simba imeanza mipango ya kuimarisha kikosi chake kwenye dirisha dogo litakalofunguliwa mwezi Desemba, mwaka huu huku supastaa Mrundi Said Ntibanzonkiza ‘Saido’ anayekipiga Geita Gold akitajwa kuwemo kwenye mapendekezo. Simba inamfikiria Saido ili kuimarisha safu yake ya ushambuliaji, viongozi wakiamini ataenda kuongeza nguvu kwenye eneo hilo ambalo kwa sasa linaonekana kucheza kwa kumtegemea zaidi Clatous Chama. Licha ya kwamba baadhi wanadai umri...
UKWELI MTUPU….RATIBA LIGI KUU YAISHIKA PABAYA SIMBA…WAKIJITINGISHA TU..YANGA BINGWA TENA…
Historia ya kutofanya vizuri katika viwanja vya mikoani katika miaka ya hivi karibuni, inailazimisha Simba kuchanga vyema karata zake katika mechi sita mfululizo zijazo za Ligi Kuu ili isipate matokeo yanayoweza kuweka rehani malengo yake kutwaa ubingwa msimu huu. Mechi hizo sita zinazofuata za Simba ambazo zitachezwa ndani ya siku 34, zitakuwa katika viwanja vitano vilivyopo katika miji tofauti ambayo...
WINGA LA KAZI KUTUA YANGA…ANACHEZA ALGERIA…KOCHA MPYA AWAHENYESHA MABOSI SIMBA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.
ADEBAYO AJISOGEZA MSIMBAZI…APANIA KUTIKISA KIMATAIFA…JINA LA FEI TOTO LATAJWA SIMBA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.
KISA SIMBA…MBEYA CITY TUMBO JOTO….HAWAJUI WAACHE KIPI AU WACHUKUE KIPI…
Wakati Simba SC ikiwasili salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi Mbeya City, Wenyeji wametangaza kujihami kutokana na matokeo ya sare yanayowaandama. Simba SC, leo Jumatano (Novemba 23) itakuwa Mgeni wa mchezo huo katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokione jijini Mbeya kuanza mishale ya saa kumi jioni. Kocha Msaidizi wa Mbeya City Anthony Mwamlima amesema matokeo...
KISA UCHAGUZI …KADUGUDA ALIAMSHA SIMBA SC…AANIKA SAFARI YA BARBARA QATAR..
Klabu ya Simba SC ipo tayari kufanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi upande wa Wanachama ambao wataamua nani atakwenda kuwawakilisha kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu hiyo. Simba SC kwa sasa inongozwa na Mwenyekiti Multaza Mangungu ambaye alichaguliwa kuziba nafasi ilioachwa wazi na Swedi Nkwabi ambaye aliamua kujiuzulu mwaka mmoja, baada ya kuchaguliwa na Wanachama. Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ambaye ni...
KIMEUMANA YANGA….PANGA KUPITA NA MASTAA HAWA 6 WAKUBWA…INJINIA HERSI APIGILIA MSUMARI…
Kuelekea usajili wa dirisha dogo hapa nchini unaotarajiwa kufunguliwa Desemba 16, 2022 hadi Januari 15, 2023, mastaa 6 wa Yanga wamekalia kuti kavu kutokana na rekodi zao kuwa hafifu uwanjani. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, jana Jumanne ilipata ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji, uliochezwa Uwanja wa Liti, Singida. Ni Gael Bigirimana, nyota...