SIMBA MPYA NI SUKARI TUPU….MABOSI WAJIFUNGIA NDANI KUPIKA JAMBO…MIKAKTI IMEKAA NAMNA HII…
Uongozi wa Simba baada ya vikao vya mara kwa mara katika siku za hivi karibuni, umeafikiana kukisuka upya kikosi chao na kuhakikisha mashabiki wake wanakula Sikukuu ya Krismasi wakiwa na furaha na tayari kazi imeanza. Maamuzi hayo yatakayowagharimu mkwanja mrefu, yamekuja baada ya wote kukubali kukosea kwenye usajili wa dirisha kubwa la msimu huu na sasa wamenza kukifumua na kukijenga...
YACOUBA : NAISUBIRI YANGA TU….SINA CHA KUPOTEZA…
Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Songne amesema kwasasa yuko sawa na kwamba anasubiri maamuzi ya mabosi wa klabu yake juu ya kurejea kundini kufuatia kuondolewa katika usajili wa msimu huu. “Kwa sasa niko sawa kabisa namshukuru Mungu nimekuwa katika matibabu, nitarejea uwanjani kucheza wakati wowote,” alisema Yacouba. “Nawashukuru mashabiki wote, viongozi na madaktari ambao walisimamia matibabu yangu, mashabiki...
KUHUSU KASHFA ZA KUHUJUMU SIMBA…MATOLA AVUNJA UKIMYA…AANIKA A-Z MSIMAMO WAKE…
Kocha Msaidizi wa Simba SC Seleman Matola amevunja ukimya na kukanusha tuhuma zilizowahi kuelekezwa kwake kutoka kwa Baadhi ya Wanachama na Mashabiki wa Klabu hiyo ya Msimbazi. Matola amekanusha tuhuma hizo saa chache kabla ya kuondoka klabuni hapo kwa ajili ya kwenda kuanza Kozi ya Ukocha ngazi ya Diploma A ya Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. Matola amesema hakuwahi na...
HUKU NI NYUMBA YA WASHINDI TU…KUTANA NA MSHINDI WA SAMSUNG Z FLIP 4 KUTOKA MERIDIANBET…!
Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa na mshindi wa simu mpya aina ya Samsung Z Flip 4, ambaye ameibuka kidedea katika promosheni ya 1 Click 2Phone iliyokuwa ikiendeshwa na Meridianbet. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ushindi wake? soma hapa! Promosheni ya 1 Click 2 phone imedumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa wateja wapya waliojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka tarehe...
MANULA NA FEI TOTO ‘WATOBOA’ NA Infinix….ISHU NZIMA IKO NAMNA HII…
Habari njema kwa vijana wapenda soka na wateja wa simu kali za Infinix. Kampuni ya simu Infinix imewatambulisha Rasmi Feisal Salum almaarufu 'Fei Toto' anaekipiga katika Club ya YANGA na Aishi Manula kipa wa Simba kuwa mabalozi wa Promosheni ya PIGA UTOBOE yenye kuwawezesha vijana wa Kitanzania na wateja wa Infinix kujizolea zawadi mbalimbali katika msimu huu wa Sikukuu...
HAWA HAPA WACHEZAJI PEKEE WANAOIWAKILISHA TANZANIA KOMBE LA DUNIA QATAR…
Nyota wawili wenye asili ya Tanzania, Akram Afif na Yussuf Poulsen wamebeba matumaini ya mwenyeji (Qatar) na Denmark kwenye Fainali za Kombe Kombe la Dunia 2022 ambazo pazia lake limefunguliwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Al Bayt, Al Khor, Qatar. Msimu uliopita wa Kombe la Dunia Russia 2018, Watanzania walimshuhudia mshambuliaji wa RB Leipzig ya Ujerumani, Poulsen akiweka rekodi ya...
BAADA YA KUFUNGWA MAGOLI YA KIZEMBE…’NDOA’ YA SHIKHALO NA MTIBWA YAVUNJIKA RASMI…
Aliyekuwa kipa wa Mtibwa Sugar, Faruk Shikhalo amekubali yaishe baada ya kusitisha mkataba na klabu hiyo kisha kutimkia kwao Kenya. Hatua hiyo inakuja kufuatia kipa huyo kuwa katika lawama kwa mashabiki na hata baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwa madai ya kuyumba kwa kiwango chake. Akizungumza akiwa kwao Kenya kwa njia ya simu Shikhalo amesema amelazimika kuchukua uamuzi huo baada...
MAYELE: NIMEPITIA KIPINDI KIGUMU YANGA…
Baada ya kufunga hat trick ya kwanza Ligi Kuu Bara msimu huu, mshambuliaji namba moja wa Yanga, Fiston Mayele ametamba kuwa sasa gari limewaka na lilikuwa ni suala la muda kwake kufunga. Mayele ambaye amecheza dakika 630 kwenye mechi tisa akikosekama dhidi ya KMC, mara ya mwisho aliifunga Mtibwa Sugar kwenye ushindi wa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mkapa jijini...
BAKHERSA AJENGA UWANJA QATAR…YANGA KUSAJILI WAPYA …NABI APANIA KUTIKISA AFRIKA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
KISA KIWANGO CHA KIBU DENIS…MANULA AVUNJA UKIMYA SIMBA…AFUNGUKA A-Z ANAYOYAPITIA…
MAMBO yamezidi kuwa magumu kwa mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis baada ya kushindwa kuonyesha ubora tangu msimu uanze jambo lililozua hisia tofauti kwa mashabiki, lakini kipa wa timu hiyo, Aishi Manula amemtetea straika wao kuwa ana uwezo mkubwa. Kibu ndiye mfungaji bora wa Simba msimu uliopita aliomaliza na mabao manane, lakini hadi sasa timu yake ikiwa imecheza mechi 11 hajafunga...