HERSI: HII SIO YANGA YANGU BINAFSI….SIMBA WAMESHAANZA KUDONDOSHA …UBINGWA NI LEO….
Unaambiwa kitendo cha Simba kudondosha pointi tatu juzi kufuatia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam kimeleta furaha Jangwani ambapo mabosi wa Yanga wametangaza vita kuwa sasa safari ya kutetea ubingwa imeanza rasmi na hawatafanya uzembe wowote wa kutumia mwanya huo leo watakapoivaa Geita Gold. Yanga itakuwa ugenini Leo kucheza na Geita Gold saa 10 jioni katika Uwanja wa CCM...
RASMI….BAADA YA KUIKAMIA SANA SIMBA…MAYELE NA WENZAKE KUIKOSA GEITA LEO…
Wachezaji watatu muhimu wa kikosi cha kwanza cha Yanga, Fiston Mayele, Joyce Lomalisa na Djuma Shaban wako njia panda kuwa sehemu ya mchezo wa leo dhidi ya Geita Gold kutokana na majeraha yanayowasumbua. Mayele na Lomalisa hawakuwepo kwenye mchezo uliopita dhidi ya KMC walioibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Feisal Salum. Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedrik Kaze amesema bado...
MECHI ZENYE ODDS KUBWA WIKIENDI HII….MZIGO WOTE NI NDANI YA MERIDIANBET..
Unaambiwaje, Wikiendi hii boli litatembea kwenye viwanja tofauti barani ulaya, ni Ligi ya Epl, La Liga, Serie A, Ligue 1 na Bundesliga pamoja na ligi nyingine za mataifa ya Ulaya. Kamata ratiba ya mechi zenye Odds kubwa kutoka Meridianbet. Ni raundi ya 14 ya epl kuwakutanisha Mabingwa watetezi Man City watakaokuwa ugenini dhidi ya Leicester City, Haaland anakismati cha kufunga...
MSAKO WA KUWACHARAZA WATUNISIA WAANZA RASMI YANGA….MIKAKATI IKO NAMNA HII AISEE…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohamed Nabi, ameutaka Uongozi wa Klabu hiyo kuwa makini na kuchukua tahadhari zote kuelekea mchezo wa Kufuzu Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Young Africans itaanzia nyumbani Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam Jumatano (Novemba 02), kisha itakwenda Tunisia kucheza mchezo...
BAADA YA MIAKA MINGI YA LAWAMA …KASEJA AKUBALI YAISHE…AAMUA KUKAA PEMBENI….
BAADA ya kudumu kwenye soka la ushindani kwa takribani miaka 22 akicheza kwa mafanikio makubwa sana, Kipa Juma Kaseja ‘Tanzania One’ hatimaye amefanya maamuzi magumu kwa kutangaza kustaafu kucheza soka la ushindani mwaka huu. Kaseja alianza kuonekana kwenye medani ya soka la ushindani mwaka 2000 akiichezea Moro United aliyojiunga nayo ikiwa Ligi Kuu akitokea Shule ya Sekondari ya Makongo na...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU…YANGA KUTOA TIKETI ELFU 10 KWA WATAKAOCHANJA CHANJO YA CORONA…
Kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Yanga wameamua kugawa tiketi za mchezo takribani elfu 10 kwa mashabiki ambao watachanja. Siku si nyingi Yanga waliingia mkataba na Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) kwa ajili ya kutoa elimu mbalimbali hususani likiwemo Gonjwa la Covid-19. Kupitia Afisa Habari wa timu hiyo Ali Kamwe amesema kuwa...
ISHU YA OUATTARA NA SIMBA YAZIDI KUPASUA KICHWA…BOSI AFUNGUKA NAMNA JAMBO LILIVYO NDANI KWA NDANI…
Beki wa kati wa Simba, Mohamed Ouattara atachomolewa katika dirisha dogo lijalo kutokana na kukosa namba mbele ya Mkenya Joash Onyango, Henock Inonga na Kennedy Juma. Beki huyo alisajiliwa Simba akitokea Al Hilal ya Sudan akiwa chaguo la kocha Zoran Maki ambaye kwa sasa anainoa Al Ittihad ya Misri na alianza kuingia katika kikosi cha kwanza kabla ya ujio wa...
KISA SIMBA KUPIGWA JANA….YANGA WAIBUKA NA TAMKO LAO…INJINIA HERSI AJA NA HILI JIPYA…
UNAAMBIWA kitendo cha Simba kudondosha pointi tatu jana kufuatia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam kimeleta furaha Jangwani ambapo mabosi wa Yanga wametangaza vita kuwa sasa safari ya kutetea ubingwa imeanza rasmi na hawatafanya uzembe wowote wa kutumia mwanya huo kesho watakapoivaa Geita Gold. Yanga itakuwa ugenini kesho kucheza na Geita Gold saa 10 jioni katika Uwanja wa CCM...
NEEMA ZAZIDI KUMIMINIKA SIMBA…KAMPUNI NYINGINE YA MO DEWJI YAWEKA MZIGO MEZANI…
KLABU ya Simba leo Oktoba 28,2022 imeingia mkataba wa miaka miwili wa bima ya afya na kampuni ya Mo Assurance ya Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo uliosainiwa una thamani ya Sh250 milioni kwa mwaka na utahusika kwa timu zote tatu za Simba kwa maana ya timu kubwa, timu ya Wanawake na Ile ya vijana. Bima hiyo pia itawafikia waajiriwa wote...
MORRISON AKINUKISHA YANGA….SIMBA WAONJA UCHUNGU WA MWIKO…KANOUTE ALETA SHANGWE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.