SIO ZENGWE…UCHAFU WA ZAHERA SI USAFI WA YANGA…

0

WIKI iliyopita nilimsikia Ofisa Habari wa Yanga, Ally Shaban Kamwe akirudiarudia kauli kuwa; ‘Namheshimu Zahera’, wakati akijibu hoja alizoibua kocha huyo Mcongo katika mahojiano na Kituo cha Redio cha EFM. Ni kauli inayotumiwa sana na watu kutaka kuonyesha kuwa hoja fulani aliyoisema si sahihi, hivyo hataki kumwambia si sahihi kwa kuwa anamheshimu, ila maelezo yanayofuata huwa ni kuonyesha kilichosemwa si...

HAWA CLUB AFRICAIN WAPINZANI WA YANGA CAF…KIKOSI CHA TU NI ZAIDI YA BIL 21…

0

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga watakwenda kucheza mechi ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika kabla ya kutinga hatua ya makundi dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Kwa mujibu wa droo iliyopangwa wiki iliyopita jijini Cairo, Misri yalipo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Yanga itaanzia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Novemba 2, kabla ya...

KISA KUHAMASISHA USHOGA…AKATAA KUVAA KITAMBAA CHA UNAHODHA…

0

Nahodha wa klabu ya Feyenoord ya Uholanzi, Orkun Kokçu amesema kuwa hatavaa kitambaa cha LGBT (ambacho kinahamasisha Mapenzi ya jinsia moja). “Nimeamua kutovaa kitambaa cha unahodha wa upinde wa mvua. Nadhani ni muhimu kusisitiza kuvaa kitambaa, nina heshimu kwa kila mtu bila kujali dini, asili au upendeleo.” “Ninaamini kwamba kila mtu yuko huru kufanya chochote anachotaka au kuhisi. Ninaelewa vizuri sana...

AZAM FC MAMBO MAGUMU….BAADA YA KOCHA KUFUKUZWA…VIGOGO HAWA NAO KUTUPIWA VIRAGO…

0

HALI sio shwari kwa Azam FC kwani baada ya mechi tisa tu, zikiwamo saba za Ligi Kuu Bara na mbili za Kombe la Shirikisho Afrika, mabosi wa klabu hiyo wamewapiga chini makocha wawili akiwamo Denis Lavagne aliyetua mapema mwezi uliopita. Mfaransa huyo amesitishiwa mkataba wake akiitumikia timu hiyo kwa siku 45 tu tangu alipopangazwa Septemba 7, akiwa ni kocha wa...

WAMESHTUKA….AZAM WAIPELEKA ‘LUPASO’ MECHI YAO NA SIMBA…SABABU HIZI HAPA…

0

Uongozi wa Azam FC umetoa ufafanuzi wa kuhamisha mchezo wao dhidi ya Simba SC kutoka Uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuupeleka Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Mapema jana Jumatatu (Oktoba 24) Bodi ya Ligi ‘TPLB’ ilitoa ratiba ya michezo ya Mzunguuko wa tisa wa Ligi Kuu na kuthibitisha kuwa, mchezo wa Azam FC dhidi ya Simba...

KISA ONYANGO….BEKI AOMBA KUONDOKA SIMBA…MICHO ALICHAMBUA GOLI LA AZIZ KI…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Jumanne.

NABI BAI BAI …..YANGA YALETA KOCHA MBRAZILI..NI YULE ALIYEWAUA MAZEMBE KWAO….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne.

AHMED ALLY:- HATUAMINI KAMA TUMETOKA SARE NA YANGA..WALISTAHILI ZAIDI YA HILI…

0
Habari za Simba

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amesema haamini kama kweli Young Africans imeambulia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa jana Jumapili (Oktoba 23). Miamba hiyo ilikutana Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuzisaka alama tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini ilishindwa kutambiana kufuatia kutoshana nguvu kwa mabao yaliyofungwa na Viungo Washambuliaji Augustine Okrah (Simba...

ALLY KAMWE: TUMEFARIJIKA SANA KUPATA SARE NA SIMBA…IMETUPA THAMANI MNOO…

0
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Klabu ya Young Africans imeshukuru kwa kupata alama moja mbele ya watani zo Simba SC baada ya kulazimisha sare ya 1-1 jana Jumapili (Oktoba 23). Young African iliyokua mwenyeji wa mchezo huo ililazimika kusawazisha bao kupitia kwa kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz Ki, sekunde chache kabla ya mapumziko baada ya kutanguliwa kufungwa na watani zao Simba SC, kupitia...

KUHUSU MICHO KUMRITHI NABI JANGWANI…KIGOGO YANGA AFUNGUKA A-Z JINSI ISHU ILIVYO….

0

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa ufafanuzi wa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda Milutin Sredojević ‘Micho’, baada ya kuonekana Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, akifuatilia mchezo wao dhidi ya Simba SC jana Jumapili (Oktoba 23). ‘Micho’ ambaye aliwahi kukinoa kikosi cha Young Africans mwaka 2007, alifuatilia mchezo huo uliomalizika kwa sare ya 1-1, huku...