RASMI….IBENGE AFUNGUKA A-Z CHANZO CHAMA NA KISINDA KUSHINDWANA NA WAMOROCCO…

0

Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Hilal ambaye amewahi kuifundisha RS Berkane ya Morocco Florent Ibenge, amefunguka sakata la kiungo mshambuliaji, Tuisila Kisinda alivyoondoka klabuni hapo. "Clatous Chama aliondoka RS Berkane mapema kabla mimi sijaondoka lakini mimi niliondoka nikamwacha Tuisila Kisinda. "RS Berkane walitaka kumtoa Kisinda kwa mkopo (palepale Morocco) kwa sababu walikuwa wamesajili washambuliaji wengi lakini sio kwa sababu mimi...

FEI TOTO AWA GUMZO SUDANI NZIMA…SIMBA KUINGIA MAKUNDI KWA STAILI YA KUKUNWA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumamosi.

WAKATI AKIZIDI KUTAKATA…MOSES PHIRI AVUNJA UKIMYA KUHUSU MECHI IJAYO…MASHARTI YAKE HAYA HAPA…

0
Moses Phiri ajiondoa Simba SC

Mzambia kipenzi cha Wanasimba, Moses Phiri ametoa angalizo zito kwa wachezaji wenzie na mashabiki wa Simba kuelekea mechi dhidi ya De Agosto Jumapili ijayo. Staa huyo amewaambia kwamba wasibweteke na matokeo ya ushindi wa ugenini wa mabao 3-1 kwani katika michuano hiyo uzoefu unaonyesha lolote linaweza kutokea muda wowote iwe nyumbani au ugenini na kubaki na majuto makubwa. Amewasisitiza kwamba kila...

KUELEKEA MECHI NA WAANGOLA….DEWJI ATOA DILI TAMU KWA MASHABIKI SIMBA…

0
Mashabiki Simba

Mfadhili wa zamani wa klabu ya Simba, Azim Dewji amewataka mashabiki wa timu hiyo wajitokeze siku ya Jumamosi kuchangia damu ikiwa kama sehemu ya sadaka katika mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Premio De Agosto. Zoezi hilo la kuchangia damu litafanyika Jumamosi katika hospitali ya Taifa Muhimbili saa 4:00 asubuhi. Simba katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini...

PAMOJA NA KUFANYA MAKUBWA….MGUNDA AWAPA MTIHANI MZITO MABOSI SIMBA…

0
Habari za Simba

Kiwango kizuri anachokionyesha Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda tangu apokee mikoba ya Zoran Maki ni kama mtego kwa viongozi wa timu hiyo, kufanya maamuzi ya kusaka kocha mpya wa kigeni. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Mgunda amesimamia mechi tatu akicheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi, ugenini alishinda mabao 2-0, wafungaji wakiwa ni Moses Phiri na John Bocco, wakipewa...

ILI KUHAKIKISHA MSUDAN ANAPIGIKA KWAO…MABOSI WAVAMIA KAMBI YANGA…’WANAPIKA NA KUPAKUA’ KILA KITU…

0
Dodoma Jiji yataka vifaa vya Yanga SC

Katika kuhakikisha morali na hamasa inaongezeka, baadhi ya viongozi wa Yanga wamechukua maamuzi ya kukaa karibu na wachezaji wao huko kambini Kijiji cha Avic Town, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa marudiano wa hatua ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakaocheza dhidi ya Al Hilal huko nchini Sudan, Jumapili hii. Timu...

SHABIKI WA AL HILAL YA SUDAN AFANYA KUFRU ….ANUNUA TIKETI YA YANGA KWA MILIONI 8….

0

Ikiwa zimebaki siku mbili kupigwa kwa pambano la mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga, Shabiki wa Al Hilal amenunua tiketi ya VIP ya kushuhudia pambano hilo kwa pesa za kitanzania Shilingi milioni 8. Katika taarifa yake Al Hilal wamemshukuru Shabiki huyo ambae hakutaka jina lake litajwe imeandika; “Sio jambo jipya kwa...

JEMEDARI SAID ALIAMSHA TENA KUHUSU SIMBA….AFUNGUKA A-Z JINSI HESHIMA YAKE ILIVYO…

0
Jemedari saidi awananga Yanga SC

Mdau wa Soka nchini Tanzania Jemedari Said ameonesha kukerwa na kejeli zinazotolewa na baadhi ya Mashabiki dhidi ya ushindi wa Simba SC Kimataifa. Simba SC ilivuna ushindi wa 3-1 dhidi ya Primero de Agosto Jumapili (Oktoba 09) ugenini Luanda-Angola, na kujiweka katika mazingira mazuri kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili, ambao utapigwa Jumapili (Oktoba 16) Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini...

MAYELE: AFRIKA INAKWENDA KUSHANGAZWA JUMAPILI…WASUDAN WATAOMBA POO KWAO…

0
Habari za Yanga SC

Mshambuliaji kutoka DR Congo Fiston Kalala Mayele amewatuliza Mashabiki wa Klabu ya Young Africans kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Young Africans iliambulia sare ya 1-1 dhidi ya Al Hilal mwishoni mwa juma lililopita (Jumapili-Oktoba 08), hali ambayo ilizua taharuki kwa Mashabiki wa klabu hiyo, wakiamini timu yao...

KUHUSU YANGA KUTABIRIWA KUFUNGWA SUDAN…ALLY KAMWE AIBUKA NA MAJIBU HAYA KWA WACHAMBUZI…

0

Wakati Young Africans ikitarajia kusafiri kesho Jumamosi (Oktoba 15) asubuhi kuelekea Khartoum-Sudan tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Al Hilal, Idara ya Habari na Mawasilino ya Klabu hiyo imetoa kauli kuhusu maoni yanayoendelea kutolewa kupitia Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii. Asilimia kubwa ya maoni yanayotolewa na Wadau wa Soka...