UNAAMBIWA WALE WAMALAWI KILA WAKIMUOTA CHAMA …WANAPAGAWA NA MECHI YA JPILI…KOCHA WAO KAFUNGUKA HAYA…
Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa ameweka wazi kuwa watakuwa kwenye wakati mgumu zaidi katika mchezo wa marudiano dhidi ya Simba huku akisisitiza ubora wa wachezaji wa timu hiyo akiwemo Clatous Chama ulivuruga mipango yake.Pasuwa ametoa kauli hiyo kufuatia matokeo ya mchezo wa kwanza ambao walipoteza kwa kipigo cha mabao 2-0 uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa...
KUELEKEA MECHI YA CAF…KOCHA MFARANSA AWAPA MASHARTI HAYA AZAM FC…WAKISHINDWA IMEKULA KWAO…
Kocha mpya wa Azam FC, Denis Lavagne juzi aliiongoza timu hiyo kwenye Ligi Kuu, ugenini dhidi ya Mbeya City, lakini tayari ameshaanza mikakati ya kuhakikisha inafanya vizuri katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Katika kuhakikisha Azam FC inatimiza lengo lake la kucheza kwa mara ya kwanza hatua ya makundi ya mashindano ya klabu Afrika kwa kufuzu mwaka huu, Lavagne...
DUH…KWA HILI, KISINDA NDIO BASI TENA YANGA….KIGOGO MKUBWA AFICHUA NAMNA WALIVYOCHEZA PATA POTEA NYINGI…
Sinema ya winga wa Yanga, Tuisila Kisinda bado inaendelea. Kocha Nabi Mohammed amefunguka kilichotokea na alichofanya lakini Mkurugenzi wa Mashindano wa klabu hiyo, Saad Kawemba ametoa mpya. Lakini kanuni nazo zimeongea.Iko hivi; Yanga imeanza kasi ya kuelekea kwenye hatua kutinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika huko Februari mwakani na ikiwa hilo litatimia kwa kuwatoa Zalan kisha mshindi dhidi...
A-Z JINSI JONAS MKUDE ALIVYOHARIBU DILI LA AHADI YA MILIONI ISHIRINI KWA TZ PRISONS….UKWELI WOTE HUU HAPA….
Wekundu wa Msimbazi, Klabu ya Simba SC imeibuka na alama tatu katika mchezo mgumu mbele ya maafande wa Tanzania Prison Jijini Mbeya.Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umepigwa jioni ya jana katika Uwanja wa Sokoine na Simba kuibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0.Goli pekee la ushindi la Simba limefungwa na Kiungo Jonas Mkude dakika ya 86 akimaliza...
BOSI SIMBA ACHOCHEA VITA YA PHIRI NA MAYELE….MGUNDA APEWA MIKOBA WAKIVUNJA MWIKO KWA TZ PRISONS…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Alhamisi.
ILI KUTOBOA MICHUANO YA CAF …GEITA GOLD WAJAZWA UPEPO…WAKIZINGATIA WATALAMBA ASALI KAMA SIMBA …
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Geita Gold FC na Namungo FC Flugence Novatus amempa ushauri Kocha Fred Felix Minziro kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Hilal al-Sahil SC ya Sudan.Geita Gold FC ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa 1-0 Jumapili (Septemba 11), ikiwa ugenini Mjini Omdurman-Sudan hali ambayo imeifanya klabu hiyo ya...
WAKATI MWANAYE AKIWA KAFUNGIWA NA TFF…MZEE MANARA AVUNJA UKIMYA YANGA… AMTAJA MAYELE …
Gwiji wa soka la Tanzania, Yanga SC na Taifa Stars Sunday Manara ‘Computer’ alisema wazi kuwa straika wa Yanga, Fiston Mayele ni mchezaji hatari mwenye kila kitu ambacho mshambuliaji anatakiwa kuwa navyo.Sunday, ambaye ni Baba mzazi wa msemaji wa Yanga aliyefungiwa na TFF Haji Manara, alisema Fiston atawasumbua sana kwenye mpira wa Tanzania, na hata Afrika kwa sababu ana...
PAMOJA NA YANGA KUPATA USHINDI JANA…NABI AWADINDIA MASHABIKI…AFUNGUKA NAMNA ALIVYOTAKA MAMBO YAWE…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasredden Nabi amesema pamoja na Mashabiki wengi kuamini kikosi chake kilipata matokeo dhidi ya Mtibwa Sugar kwa urahisi, lakini kwake kama Mkuu wa Benchi la Ufundi haamini hivyo.Mtibwa Sugar ilikubali kupoteza mchezo huo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufungwa 3-0 jana Jumanne (Septemba 13), huku...
KUHUSU KUSUA SUA KWA UJENZI WA UWANJA WA SIMBA….ALIYEPEWA DILI LA KUUJENGA AIBUKA NA MADAI HAYA MAZITO…
Mwakilishi wa Mkandarasi Kampuni ya Mega Woodcraft, Jonathan Kibona ametoa sababu za Kampuni yao kushindwa kuanza ujenzi wa Ukuta katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa wakati uliokua umekusudiwa.Simba SC imekua ikiutumia Uwanja wa Mo Simba Arena kwa vikosi vyake vyote, kwa ajili ya kufanya mazoezi ya kuajiandaa na Michauno mbaliambali, lakini eneo hilo limekua na changamoto ya kukosa...
KIPIGO TOKA YANGA CHAIBUA MAZITO KWA MTIBWA SUGAR….WACHEZAJI WAHISIWA ‘KUFANYA NDIVYO SIVYO’…
Baada ya kuziacha alama tatu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Mabingwa watetezi Young Africans, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru amewaangushia lawama wachezaji.Mtibwa Sugar ilikubali kupoteza mchezo huo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufungwa 3-0, huku ukiwa mchezo wao wa kwanza kupoteza msimu huu.Kifaru amesema Wachezaji wao...