ZA NDAANI KABISA….KOCHA WA ZAMANI AL AHLY AITAKA SIMBA…ATUMA MAOMBI RASMI …
Taarifa zilizotufikia kutoka vyombo vya habari nchini Afrika Kusini zinasema aliyekuwa kocha msaidizi wa Al Ahly, Cavin Johnson ametuma maombi ya kuajiriwa kama Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Sc ambayo kwa sasa iko chini ya kocha wa muda Juma Mgunda baada ya kuachana na Kocha wake, Zoran Manojlović Maki.Johnson ambaye ni raia wa Afrika Kusini aliondoka Ahly kama...
HAIJAWAHI TOKEA…UJENZI UWANJA WA YANGA NOMA…WAKAZI JANGWANI WALIPWA FIDIA KUUPISHA …
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.
AZAM FC WAIMBOMBOA MBEYA CITY MBELE YA FAMILIA ZAO…PIRA LA KOCHA MPYA LAINUA MATUMAINI MAPYA…
Mshambuliaji wa Azam FC, Idriss Mbombo ameihakikishia timu yake pointi tatu muhimu na kuvunja uteja kwa Mbeya City baada ya leo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu NBC uliopigwa katika uwanja wa Sokoine.Ushindi huo unaifanya timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa pointi nane, zaidi ikiwa ni kulipa kisasi kwa wapinzani hao...
SAKATA LA MKATABA WA GSM NA YANGA…JEMEDAR SAIDI AIZIDI KUFUKUNYUA MAMBO MAPYA…AANIKA YA NYUMA YA PAZIA..
Jana tulianzishiwa mada mahususi ambayo ilikuwa ya KIMKAKATI na vijana wakaiparamia kama ilivyo mwisho wa siku lengo likatimia.Lengo lilikuwa ni kututoa njiani badala ya kujadili mambo ya msingi watu wakaingia kujadili mambo ya nini kijadiliwe na wachambuzi na kipi ni haramu.Nimejiuliza ilikuwa ni bahati mbaya kwamba siku mkataba wa GSM & YANGA unatangazwa ndio siku hiyo hiyo tunaambiana tujikite...
FT: YANGA 3-0 MTIBWA SUGAR ….AZIZ KI AFUFUKIA KWENYE ‘JUA LA UTOSI’…MAMBO YA KICONGO YAFANYA KAZI KWA MKAPA…
KLABU ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa mbao 3-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini dar es Salaam.Mabao ya Yanga yaliwekwa kimyani na mshambuliaji Fiston Mayele, Djuma Shaban pamoja na Azizi Ki ambaye alifunga idadi ya mabao kwenye mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake.Yanga sasa iitakuwa...
KISA SAKATA LA KISINDA NA TFF….LOMALISA ATEMWA USAJILI WA YANGA…ISHU NZIMA IMEKAA NAMNA HII…
Beki Joash Onyango anatajwa kubaki Simba SC mpaka mkataba wake utakapogota mwisho huku Tuisila Kisinda wa Yanga akitajwa kuwa nafasi yake itakuwa ndani ya kikosi hicho mpaka dirisha dogo.Mashauriano ya wachezaji haya yalikuwa yanasikilizwa na Kamati ya Sheria, Wanachama na Hadhi za Wachezaji ambapo Kisinda yeye alisajiliwa muda mfupi kabla dirisha la usajili kufungwa huku taarifa zikieleza kuwa tayari...
BAADA YA ONYANGO KUUNGANA NA WENZAKE LEO…MGUNDA ASHINDWA KUJIZUIA…AANIKA MSIMAMO WAKE…
Beki kisiki wa Simba SC, Joash Onyango, amerejea kwenye kikosi hicho baada ya kutoonekana tangu Msimu wa Ligi Kuu wa 2022-23 ulipoanza.Akizungumza na waandishi wa habari akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar leo Septemba 13, 2022 wakiwa tayari kwa safari ya kwenda jijini Mbeya kuwavaa Tanzania Prison, Kocha Mkuu wa Simba Juma...
ASUKILE AIPIGA MKWARA KAMA WOTE SIMBA SC…AKUMBUSHIA KIPIGO CHA MSIMU ULIOPITA…
Nahodha wa Maafande wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile ameitaka Simba SC kuwa tayari kwa mchezo wa kesho Jumatano (Septemba 14), utakaopigwa Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.Asukile ametoa tahadhari hilyo alipozungumza na Waandishi wa Habari leo Jumanne (Septemba 13) majira ya Mchana jijini Mbeya, ambapo amesema kikosi chao kimejiandaa kikamilifu kuikabili Simba SC, huku kikiweka dhamira ya kushinda...
KISA VIPIGO MFULULIZO ….MSTAA IHEFU WAWEKWA KIKAANGONI…KATWILA APIGWA BUMBUWAZI ASIJUE LA KUFANYA…
Kipigo cha mechi tatu mfululizo kwa Ihefu kimewafanya wachezaji, benchi la ufundi na viongozi kukaa chini ili kuwekana sawa kwa nia ya kutafuta tiba mapema kabla mambo hayawatibulia zaidi.Ihefu iliyorejea Ligi Kuu Bara msimu huu, ilianza kwa kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting, kisha ikalala tena 1-0 kwa Namungo kabla ya kufumuliwa 3-1 na Mtibwa Sugar, licha ya kikosi...
BAADA YA KUANZA KUILIPA SIMBA KWA MAGOLI….MOSES PHIRI AIBUKA NA HILI TENA…AOMBA UTAMBULISHO MPYA…
Mzambia Moses Phiri anayekipiga Simba yupo moto, kwani jamaa anatupa tu mipira nyavuni kila akishuka uwanjani na mwenyewe ametamba ‘na bado, nitafunga sana, kwani ndio kazi yangu’.Phiri aliyesajiliwa na Simba msimu huu akitokea Zanaco, amefunga mabao manne katika mechi nne za kimashindano, zikiwamo tatu za Ligi Kuu Bara na moja ya Ligi ya Mabingwa Afrika na mwenyewe ameweka wazi...