BAADA YA KUONA ZORAN ALIVYOWAPELEKA PUTA SIMBA…AZAM FC WAAMUA KUMPA UKWELI HUU MAPEMA KOCHA WAO MPYA…

0

KLABU ya Azam FC imesema  kocha wao mpya, Denis Lavagne atafanya kazi na makocha atakayewakuta kwa sababu wanataka kuendeleza walichonacho na si kuanza upya.Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Thabit Zacharia 'Zaka Zakazi', alisema kocha huyo raia wa Ufaransa amekuja peke yake na wasaidizi wataendelea kuwa wale wale ambao walikiongoza kikosi baada ya kuondolewa...

BAADA YA KUTOKA SARE NA AZAM JUZI…MABOSI YANGA WACHACHAMAA …ZAHERA ‘AMCHANA’ NABI UWEZO WA LOMALISA…

0

YANGA imeangusha pointi mbili za kwanza katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya sare ya 2-2 na Azam FC, japo imeendelea kushikilia rekodi ya kutopoteza mechi 40, lakini mabosi wao kuna kitu wamekishtukia katika kikosi hicho.Mabosi wa Yanga wameshtukia kitu kama ambacho mashabiki wao wamekiona kwamba kuna shida katika safu yao ya ulinzi hasa baada ya kubadilishwa kwa...

KISA ‘MISHUTI YAKE YA MWANA UKOME’ FEI TOTO AIBUKA NA HILI YANGA….AFICHUA SIRI YA KUWATESA MAKIPA…

0

KIUNGO fundi wa mpira anayekipiga Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi usiku alifunga mabao mawili kwa mashutu makali akitokea benchi na kuinusuru timu hiyo isilale mbele ya Azam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kisha akasema kama kuna watu wanadhani huwa anabahatisha kufunga mabao ya aina hiyo, basi pole yao.Fei alisema kufunga kwake mabao kwa mashuti huwa habahatishi kwani...

NABI APATA UKUTA MPYA YANGA…AMSUKA VILIVYO MAYELE NA AZIZ KI…SIMBA KUJAZWA MIHELA WAKITOBOA MALAWI…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.

PAMOJA NA KUJIUNGA NA GEITA GOLD…JINA LA SAIDO NTIBAZONKIZA LATAJWA TENA YANGA…KAZE ASHINDWA KUJIZUIA…

0

KOCHA msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema ujio wa kiungo mshambuliaji, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ kwenye kikosi cha Geita Gold ni mafanikio makubwa kwa timu hiyo iliyopo Ligi Kuu Bara.Kaze alisema ubora na uzoefu alionao nyota huyo utakuwa msaada mkubwa kwao huku akiweka wazi urejeo wake nchini ni kuonyesha ni kwa jinsi gani soka la Tanzania linapiga hatua nje ya...

WASUDANI WAIRUDISHA YANGA KWA MKAPA….WAKIPETA HATUA HII KUKUTANA TENA HAPO HAPO…

0

MCHEZO wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji Zalan FC kutoka Sudan Kusini dhidi ya Yanga utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam tofauti na mwanzo ulivyopangwa kuchezwa Azam Complex.Zalan imeamua kutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo huo kutokana na viwanja vyake nchini Sudan kukosa hadhi ya kuchezea mashindano.Mchezo huo wa hatua...

HIVI NDIVYO YANGA ‘WALIVYOMFINYA’ MORRISON KUHUSU TABIA ZAKE ZA AJABU AJABU…AKIZINGUA HANA CHAKE…

0

Imebainika kwamba, mkataba aliopewa winga Bernard Morrison raia wa Ghana ndani ya Yanga, umemfanya kuwa miongoni mwa wachezaji wenye nidhamu kubwa kikosini hapo na kuwa mfano wa kuigwa kwa wenzake.Morrison ambaye amerejea Yanga msimu huu akitokea Simba, katika mkataba mpya, amewekewa vipengele vingi vinavyombana ikiwemo kutokuwa mtovu wa nidhamu.Chanzo chetu kutoka Yanga, kimesema kwamba, mabadiliko ya nidhamu ya Morrison...

MKATABA MPYA WA MAYELE NI ZAIDI YA BENKI….KWA MWEZI ANALIPWA MIL 16…SIMBA WASHTUKIA JAMBO KWA KAPOMBE…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.

KUMBE SIMBA NA ZORAN WALIKUWA WANAVIZIANA BANA…HIZI HAPA SABABU 7 ZILIZOPELEKEA BARBARA KUKUBALI AONDOKE…

0

Simba imeachana na Kocha Mserbia, Zoran Maki siku 70 baada ya kumsaini mkataba wa mwaka mmoja Juni 28 kwa makubaliano ya kutetea vikombe vyote na kufika nusufainali ya Klabu Bingwa Afrika. Sambamba na huyo pia imewatema Kocha wa viungo, Sbai Karim na yule wa makipa Mohammed Rachid ambao wote walikuwa wasaidizi wake na alikuja nao.Habari za uhakika ni kwamba...

WAKATI WAKIJINDAA NA SINGIDA BIG STARS….MASUDI DJUMA KAJIPIGA PIGA KIFUANI ..KISHA KWA JEURI AKASEMA HAYA…

0

Kocha Masoud Djuma Irambona amesema yupo tayari kwa mchezo wa Mzunguuko watatu wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Big Stars.Kocha huyo kutoka Burundi amesema amekitumia vizuri kipindi cha majuma mawili ambacho Ligi Kuu ilisimama, kurekebisha baadhi ya makosa ambayo yalipelekea kupoteza michezo miwili ya awali msimu huu.Amesema anatambua mchezo dhidi ya Singida Big Stars utakua na upinzani...