KISA MECHI NA AZAM….KISUBI AMUONDOA DIARA YANGA….AMTAKA ASEPE BONGO HARAKA…

0

Kipa wa Polisi Tanzania, Jeremiah Kisubi amemshauri mdaka mishale wa Yanga, Djigui Diarra akapumzike kwao ili kuupa mwili wake nguvu ya kufanya kazi kwa ushindani mkali.Kisubi ameufafanua ujumbe alioundika kwenye mitandao ya kijamii, akimtaka Diarra akapumzike kwao ila anachoshangaa ni tafsiri za baadhi ya watu ambao wanauhusisha ujumbe huo na imani za kishirikina."Msimu uliopita ukitaja makipa wenye viwango vya...

ALICHOSEMA MATOLA BAADA YA ISRAEL MWENDA KUCHEZA ‘FYONGO’ NYINGI JANA…ATUPA LAWAMA KWA WOTE…

0

Kocha Msaidizi wa Simba SC Seleman Matola ametetea maamuzi ya kumtumia muda wote Beki wa Kulia Israel Patrick Mwenda, katika mchezo dhidi ya KMC FC uliomalizika kwa sare ya 2-2.Miamba hiyo ya Dar es salaam ilipapatuana jana Jumatano (Septemba 07) Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku beki Israel Mwenda akigeuka gumzo kutokana na kuonesha kiwango duni.Kabla ya kuondoka Dar es...

RASMI….MBAPPE AFUNGUKA SAKATA LAKE NA NEYMAR…AKIRI KUNA MGOGORO KISA MESSI NA PSG….

0

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amesema anamheshimu sana mchezaji mwenzake Neymar lakini uhusiano wao umekuwa na pande mbili kuna muda wanakuwa na uhusiaono mzuri na kuna muda wanakuwa na migogoro.“Huu ni mwaka wa sita na Neymar. Daima tumekuwa na uhusiano kama huu, kwa msingi wa heshima, lakini wakati mwingine na wakati wa...

SAA CHACHE BAADA YA KUPEWA TIMU…MGUNDA ATOA MSIMAMO WAKE KUFANYA KAZI NA MATOLA…”MNIOMBEE SANA JAMANI”…

0

Saa chache baada ya Simba SC kumtangaza Kocha Juma Mgunda kuwa Kocha wa Muda, Kocha huyo mapema leo Alfajiri ameongozana na kikosi kuelekea Malawi tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.Simba SC itacheza dhidi ya Mabingwa wa Malawi Nyassa Big Bullet Jumamosi (Septemba 11) katika Uwanja wa Bingu mjini Lilongwe.Mgunda alitangazwa kuwa Kocha...

AHMED ALLY : MASHABIKI WANAHAKI KUSEMA HAWAMTAKI MATOLA…AFUNGUKA MSIMAMO WA KLABU …

0

Kufuatia Malalamiko ya baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Simba SC kuhusu uwezo wa Kocha Msaidizi Seleman Matola, Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba Ahmed Ally ametoa tamko.Wakati na baada ya mchezo wa Simba SC na KMC FC uliochezwa jana Jumatano (Septemba 07) Uwanja wa Benjamin Mkapa, baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo ya Msimbazi walipaza...

ACHANA NA HABARI ZA KUPATA SHAVU MISRI…HUU HAPA UKWELI WA MAMBO SIMBA KUKUBALI HARAKA KUMUACHIA ZORANI…

0

Uongozi wa Simba jana mchana ulitangaza kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Zoran Manoljović (60) baada ya kudumu kwa miezi miwili huku sababu tatu zikitajwa kumuondoa.Huyo ni kocha wa pili wa kigeni kutimuliwa tangu kuanza kwa msimu huu, mwingine ni kaimu Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC, Abdihamid Moallin raia wa Somalia na Marekani.Simba ilimuajiri na kumtangaza kwa mbwembwe...

SAKATA LA KUROGWA NA POGBA….MBAPPE AVUNJA UKMYA..AANIKA A-Z KUHUSU ANAYOYAJUA…MGANGA ALIHUSIKA SANA…

0

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa Kylian Mbappe ameungana na kiungo wa Juventus, Paul Pogba katika sakata la uchawi linalomkabili Pogba.Paul Pogba amewaambia wachunguzi kwamba watu wanaoambaza taarifa hizo, akiwemo kaka yake Mathias, walikuwa wakitaka kumchafua kwa kudai alimwomba mganga amroge Mbappe.Mbappe sasa amevunja ukimya wake kuhusu hali hiyo na amefichua mazungumzo ambayo amekuwa nayo na mchezaji...

MRITHI WA SENZO HUYU HAPA….YANGA WAAMCHOTA JUU KWA JUU KUTOKA KLABU KUBWA DR CONGO…JAMAA LINAJUA HILOO…

0

Yanga imempokea winga teleza, Tuisila Kisinda ‘TK Master’ aliyetua akitokea nchini Morocco alikokuwa akiichezea RS Berkane, lakini taarifa za kusisimua ni kwamba klabu hiyo inahesabu siku kabla ya kushusha Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Zambia.Tayari mabosi wa Jangwani wameanza mchakato wa kuzungumza na mtendaji huyo mpya kuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo Mazingisa aliyeondoka mwishoni mwa mwezi Julai kurejea...

SIKU KADHAA BAADA YA KUTANGAZWA KUSAJILIWA GEITA…NTIBAZONKIZA AIBUKA NA KUANIKA UKWELI WOTE….

0

Amerudi tena na ameanzia alipoishia hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mshambuliaji Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kurudi tena katika ardhi ya Tanzania kwa mara ya pili baada ya kuamalizana na waajili wake wa zamani Yanga.Saido raia wa Burundi msimu huu amerudi kuitumikia Geita Gold ambayo inashiirki mashindano ya kimataifa ikiwashiriki nchi kwa mara ya kwanza katika Kombe la Shirikisho Afrika.Geita...

MWAKINYO TENA…AFUNGUKA A-Z ISHU YA KULIPWA ZAIDI YA MIL 230 KWA KUPIGWA TU…AGUSIA KUUZA PAMBANO ILI APATE PESA..

0

Wengi wameshuhudia dakika 10:49 za Hassan Mwakinyo na Liam Smith ulingoni, huku Watanzania wengi wakishangazwa na kilichotokea hadi, bondia huyo namba moja nchini kupigwa kwa Technical Knock Out (TKO) usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita licha ya yeye ndiye kuonekana amecheza vizuri na kuongoza raundi ya pili.Kila mmoja anazungumza lake kuhusu pambano hilo lililopigwa Uingereza, wengine wakihisi kama ameliuza, wengine...