WAKATI SIMBA IKIZIDI KUVUNJA REKODI ZA AL AHLY CAF…BARBARA KUMBE ALISHALIONA HILO MAPEMA…
KIKOSI cha Simba mchana wa leo kimekula msosi nchini Benin kikijiandaa kuwavaa Asec Jumapili, huku mashabiki wa Mnyama wakiweka rekodi ya kutazamwa,…
Browse all posts in this category.
KIKOSI cha Simba mchana wa leo kimekula msosi nchini Benin kikijiandaa kuwavaa Asec Jumapili, huku mashabiki wa Mnyama wakiweka rekodi ya kutazamwa,…
KLABU ya Simba imeonyesha kutotaka utani baada ya kuweka wazi wana mpango wa kufuzu hatua ya robo fainali wakiwa katika ardhi ya…
Beki wa kushoto na Nahodha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, amesema timu yao imedhamiria kufuzu…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally amesema lengo kuu la kikosi chao kuelekea Benin ni kuendeleza…
Tathimini iliyofanywa kwenye akaunti za Mitandao ya kijamii za Shiriskiho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ imebaini kuwa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara…
Kikosi cha Simba SC kimewasili salama mjini Cotonou-Benin, tayari kwa mchezo wa Mzunguko watano wa ‘Kundi D’ Kombe la Shirikisho Barani Afrika…
KAMA unadhani mzimu wa kukosa penalti kwa Simba unaisumbua kwenye mechi za mashindano tu, pole yako kwani hata mazoezini tatizo hilo linaendela…
SIMBA inazidi kupasua anga kimataifa ambapo sasa wanahitaji ushindi katika mechi moja tu kati ya mbili walizobakiza kwenye hatua ya makundi ya…
HUKU wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wao wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas,…
BAADA ya kupata pointi tatu za nyumbani, uongozi wa Simba umeibuka na kumtaja kiungo wao mkabaji Jonas Mkude ndiye aliyekuwa kikwazo kwa…
WAPINZANI wa Simba, ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast, wajiandae kukutana na sapraizi mara watakapokutana katika mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema amefurahishwa viwango vya mastaa wake hususani viungo, Pape Sakho na Bernard Morrison katika mchezo wao…