YANGA MAFIA SANA AISEE…NTIBAZONKIZA NDIO BASI TENA JAGWANI…ASEPA JUMLA JUMLA NA KILA KITU CHAKE…
Klabu ya wamepania kwa namna yoyote ile kushinda mechi ya leo Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza…
Browse all posts in this category.
Klabu ya wamepania kwa namna yoyote ile kushinda mechi ya leo Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza…
Hatimaye Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredine Nabi amefunguka kuhusu sakata la kuwatimua kambini mastaa wake Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo huku…
Benchi la Ufundi la Young Africans limekiri kuwa mchezo dhidi ya Simba SC hautakua rahisi kama inavyochukuliwa na Mashabiki wa klabu hiyo…
Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara ameeleza kuhusu kusimamishwa kwa wachezaji wa Klabu hiyo Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo. “Ni kweli…
Mshambuliaji tegemeo wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa ili wafanikiwe kubeba makombe yote mawili yaliyobaki, ni lazima wawafunge watani wao, Simba. Yanga…
Dickson Ambundo ambaye ni mmoja ya wachezaji wa Yanga wanaotajwa kufukuzwa katika kambi ya timu hiyo amesema kuwa yeye alimuomba ruhusa ya…
KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinaimarika katika kila idara, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amewaongezea program ya mazoezi wachezaji wake wakiongozwa na…
Yanga iko Kanda ya ziwa kwa maandalizi ya kuelekea mchezo dhidi ya Simba wa Nusu Fainali ya Kombe la Azam Shirikisho (ASFC)…
Ikiwa ni muda mfupi baada ya kuibuka taarifa kumuhusu kiungo Saido Ntibazonkiza raia wa Burundi kudaiwa kuachana na Yanga sc, Saido mwenyewe…
IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amewatimua kambini wachezaji wawili wa kikosi hicho, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo. Tukio…
Afisa habari wa Miamba ya soka Afrika Mashariki na Kati, Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young Africans Sports Club.…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, juzi alikuwa miongoni mwa wapenzi wa soka waliojitokeza kushuhudia mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya…