Habari za michezo

HUKU WAKIWA NA UHAKIKA MSIMU HUU….MANARA APIGA MARUFUKU JEZI ZA UBINGWA YANGA…

admin May 25, 2022 1:00 pm


Afisa habari wa Miamba ya soka Afrika Mashariki na Kati, Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young Africans Sports Club. Haji Manara ametoa katazo kwa baadhi ya watu ambao wenye nia ya kuuza jezi ya Ubingwa kwakua timu hiyo bado hazijazitoa.

Manara ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii ”Ni marufuku mtu yoyote kuuza jezi ya Ubingwa wa Yanga Coz Club bado haijazitoa. Jezi zetu zitatolewa na kuuzwa kwa utaratibu Maalum ambao Club na GSM watatwambia. Tunawasihi sana Washabiki wetu kutowanufaisha Wajanja wachache ilhali Club haifadiki. Yes: Yanga Bingwa lakini bado hatujatoa T-shirts wala Jezi za ubingwa, Soon tutawapa utaratibu.”

Yanga mpaka sasa amebakiza point tatu tu ili kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu baada ya kuukosa kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka tatu, huku ikiwashuhudia watani zao Simba SC wakilitwaa mara nne mfululizo.

ALICHOSEMA EDO KUMWEMBE BAADA YA YANGA KUMUONGEZEA MKATABA MAUYA…”MUKOKO ALILIONA.. AKAMUA KUONDOKA”…. PAMOJA NA LIVERPOOL KUUKOSA UBINGWA WA EPL DHIDI YA MAN CITY MSIMU HUU …KLOPP AMBWAGA GUARDIOLA KWA UBORA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply