Habari za michezo

PAMOJA NA LIVERPOOL KUUKOSA UBINGWA WA EPL DHIDI YA MAN CITY MSIMU HUU …KLOPP AMBWAGA GUARDIOLA KWA UBORA…

admin May 25, 2022 1:00 pm


Meneja wa Klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp amechaguliwa kuwa kocha Bora wa Msimu Ligi Kuu ya England (EPL).

Klopp ambae ameiongoza Liverpool kubeba Makombe mawili mpaka sasa ikiwemp Kombe la Ligi (Carabao Cup) na Kombe la FA huku akimaliza nafasi ya pili katika ligi akiwa na alama 92 nyuma ya Mabingwa machester City waliomaliza na alama 93.

Mei 28 Klopp ataiongoza Liverpool katika mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Real Madrid.

HUKU WAKIWA NA UHAKIKA MSIMU HUU….MANARA APIGA MARUFUKU JEZI ZA UBINGWA YANGA… BAADA YA KUWAONA YANGA WALIVYOCHEZA JUZI…PABLO KAGUNA MARA TATU….KISHA AKASEMA JUMAMOSI KAZI IPO AISEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply