CHADRACK BOKA ATUA BONGO USIKU WA MANANE…YANGA YAMFICHA HOTELINI
SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo…
Browse all posts in this category.
SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo…
Nyota wa zamani wa Highlanders FC ya Bulawayo Zimbabwe ya Mugabe, Alipita Super Sports United ya Pretoria na akatamba pia Black Leopard…
Florent Ibenge Kocha mku wa Al Hilal amemzungumzia nyota mpya aliyesajiliwa na Yanga kutoka Simba, Clatous Chama na kilichomkwamisha kufanya vizuri Morocco,…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameongoza dua maalumu ya kumuombea aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu hiyo, Yusuf Manji ambaye alifariki…
Klabu ya Yanga iko mbioni kumshusha nchini mkata umeme kutoka DR Congo, Onoya Sangana Charve, anayeichezea Klabu ya AS Maniema, ili kuongeza…
BEKI WA KUSHOTO fundi kabisa Chadrack Boka (24) ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 2024|25. Chadrack Boka amesaini mkataba wa…
STRAIKA LA MAGOLI Clement Mzize halijamaliza msimu wa 2023/2024 kinyonge, kwani amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB akipachika mabao…
HUENDA Hizi zikawa ni taarifa za kushtukiza kwa mashabiki wa soka nchini, kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na…
Dili la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua kama tayari ameshamalizana na Yanga. Boka…
ALIYEWAHI kuwa kocha mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amezungumzia inshu ya usajili wa Clatous Chama kwenda Yanga. Clatous Chama amejiunga na Yanga…
Yanga SC imepanga kumuongezea mkataba wa miaka miwili kocha raia wa Argentina Miguel Gamondi utakaomalizika mwaka 2026. Yanga wamefikia hatua hiyo baada…
HATIMAYE Iko Wazi, Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kumuongeza mkataba wa miaka miwili beki kitasa Bakari Nondo Mwamnyeto, utakaomalizika hadi mwaka…