FIFA YAIFUNGULIA YANGA KUSAJILI…WAANZA NA JITU LA MAGOLI
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga SC adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa…
Browse all posts in this category.
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga SC adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa…
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba wa miaka miwili ili kukitumikia kikosi hicho, huku klabu hiyo ikitoa Sh300 milioni kama pesa…
KLABU ya Yanga SC inatarajia kumtambulisha mchezaji kutoka Uganda Hassan Ssenyonjo ili kuzidi kuimarisha kikosi chao kwaajili ya mashindano ya msimu ujao.…
YANGA imeanza kusuka safu imara yenye lengo la kucheza fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao. Wanachowauliza wapinzani wao ni kwamba;…
HIVI Umewahi kuifikiria Yanga hii yenye, Clatous Chama kule Prince Dube, Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli na Mudathir Yahya ambao…
YANGA sasa iko mezani na menejimenti ya kipa Djigui Diarra, ili kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuitumikia, licha ya kuwa…
KLABU ya Yanga SC imeanza kufanya mazungumzo ya kumpata kiungo mshambuliaji Mcongoman, Karim Kimvuidi anayecheza Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Nyota huyo…
SAKATA la usajili wa fundi Clatous Chama aliyemaliza mkataba wake Simba, limezidi kuchukua sura mpya, baada ya bosi mmoja wa Zambia kuvujisha…
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa AZAM FC Prince Dube ameilipa klabu yake ya zamani Shilingi Milion 500 na sasa yuko huru kujiunga na Yanga…
UONGOZI wa Yanga chini ya Rais wake Injinia Hersi umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa…
YANGA inapiga hesabu kuwaficha mastaa wake Urusi kujiandaa na msimu mpya wa kimashindano, lakini iwapo itakwama kabisa basi itatua Sauzi na ikakutana…
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho kumalizana na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa…