WAKATI MSIMU UNAISHA NA HAJACHEZA SANA….SKUDU AFUNGUKA HILI KWA YANGA…
Kuelekea mechi tano zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC, nyota wa kikosi cha Yanga, Skudu Makudubela amesema wao kama wachezaji watazicheza mechi…
Browse all posts in this category.
Kuelekea mechi tano zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC, nyota wa kikosi cha Yanga, Skudu Makudubela amesema wao kama wachezaji watazicheza mechi…
Rejea tukio la kukataliwa bao dhidi ya Mamelodi kisha rudi kwenye mechi dhidi ya Kagera sugar utagundua kuwa Yanga nahodha wake kapoa…
Moja ya eneo ambalo Yanga itaingiza ingizo jipya msimu ujao ni katika nafasi ya kipa na hesabu zao zimeenda kwa kipa namba…
Ofisa habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa usajili mpya ujao utakuwa baab’kubwa na watasimamisha nchi kwani Rais wa Klabu…
Beki kisiki wa Yanga, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ amesema mama yake ambaye ni shabiki mkubwa wa Simba, anavutiwa na aina ya uchezaji wa…
Beki wa Yanga, Dickson Job amesema wamekuwa wakionyesha hali ya kupambana zaidi pindi wanapokutana na timu inayozuia muda mwingi tofauti na wale…
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Amza Moubarack Ngamchiya amesema ni kazi ngumu kucheza na timu kubwa kama Yanga yenye kila aina ya wachezaji…
Morice Chukwu ni majina ambayo yalitikisa wakati wa dirisha dogo la usajili akihusishwa na timu mbalimbali nchini ikiwemo Yanga lakini baadae akaibukia…
Ni kama gari limewaka kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari katika…
Mnahesabu lakini? Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga juzi kupata ushindi wa 21 katika michezo 25 iliyochezwa katikaa Ligi Kuu Bara. Yanga…
Rais wa Young Africans SC, Eng. Hersi Said, amewatuliza mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kuwaambia kwamba, mchakato wa mabadiliko ya…
RAIS wa Yanga, Hersi Said yupo nchini DR Congo na kufatilia baadhi ya wachezaji waliopendekezwa na Kocha Miguel Gamondi anawahitaji kuimarisha kikosi…