HUYU HAPA KOCHA MPYA YANGA….JAMAA ALIKUWA ‘AKILI KUBWA’ PALE MAMELOD SUNDOWN…
YANGA imebakiza hatua ya kumtambulisha tu kocha wake mpya atakayekuja kubeba safari ya kusaka mafanikio zaidi ya mabingwa hao wa soka nchini.…
Browse all posts in this category.
YANGA imebakiza hatua ya kumtambulisha tu kocha wake mpya atakayekuja kubeba safari ya kusaka mafanikio zaidi ya mabingwa hao wa soka nchini.…
VURUGU walizoanza nazo mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga katika kutangaza majembe mapya, zimeanza kushtua. Hiyo ni baada ya kumtambulisha…
KLABU ya Yanga imesema tayari imempata Kocha Mkuu atakayeifundisha timu hiyo kwa msimu ujao wa mashindano, lakini haitomtangaza hadi hapo itakapomaliza zoezi…
KIPYENGA cha usajili tayari kimepulizwa. Kikimaanisha kwamba klabu mbalimbali zimeingia sokoni kusaka nguvu mpya tayari kwa msimu ujao wa michuano mbalimbali. Yanga,…
PALE Jangwani mambo ni moto! Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wako mawindoni wakikamilisha kamilisha ishu zao za usajili kwa ajili ya…
MABOSI wa Yanga wakishirikiana na benchi la ufundi la klabu hiyo, wameanza kupiga hesabu la kufyeka mastaa sita wa timu hiyo, wakiwamo…
OFISA Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa uongozi wa klabu hiyo uko katika hatua za kuhakikisha wachezaji muhimu waliomaliza…
BAADA ya kuipa Yanga mataji matatu aliyekuwa kocha wa Yanga, Miloud Hamdi atambulishwa katika klabu ya Ismaily ya Misri kwa mkataba wa…
TETESI za usajili zinadai kuwa Feisal Salum ‘Fei Toto’ amemalizana na Yanga SC, lakini kiungo huyo wa Azam FC ameibuka na kufunguka…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga shilingi milioni 100, kwa kutambua…
DUKE Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika mchezo wa…
YANGA wakati wanaseherekea ubingwa na kumfunga mtani wake Simba leo hii, imeendelea na akili ya kukiboresha kikosi na kule kambini kuna mido…