KAZI IMEANZA YANGA…..GAMONDI ATAKA STRAIKA LA BILIONI 2.5…MABOSI YANGA WAKUNA KICHWA..
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema ili Yanga imalize tatizo la straika ndani ya kikosi hicho, wanapaswa kumnunua mchezaji wa eneo…
Browse all posts in this category.
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema ili Yanga imalize tatizo la straika ndani ya kikosi hicho, wanapaswa kumnunua mchezaji wa eneo…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umekamilisha dili na kuinasa saini ya Mshanmbuliaji kutoka Klabu ya Dynamo Dougla ya…
MSHAMBULIAJI wa Dynamo Dougla ya Cameron, Leonel Ateba amekamilisha mazungumzo na makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka miwili na uongozi wa Yanga…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amekabidhi ripoti na kutoa mapendekezo yake katika dirisha dogo la usajili anahitaji mchezaji mmoja tu nafasi…
YANGA imeandika historia baada ya ushindi wa kwanza katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ilipoichapa Medeama ya Ghana…
IKIWA ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Mkapa Yanga wamepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Medeama ya Ghana.…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kila mchezaji aliye ndani ya kikosi cha Yanga ana umuhimu na ubora, huku akisisitiza kuwa…
AL Ahly ambayo ilikuwa inashiriki mashindano ya klabu bingwa dunia yanayofanyika Saudi Arabia, huenda ikacheza na Manchester City kwenye mechi ya kutafuta…
KIUNGO wa Yanga, Jonas Mkude amejikuta mtegoni baada ya nafasi yake kikosini kuendelea kuwa finyu huku baadhi ya vigogo wakitaka aondoke kutokana…
YANGA imemalizana na kiungo kiraka Shekhan Khamis Ibrahim akitokea JKU ya Zanzibar ikiwapokonya tonge mdomoni watani wao Simba, lakini filamu nzima ilikuwa…
YANGA kesho inashuka dimbani ikiwakaribisha Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa katika uwanja wa Azam, uliopo Chamazi Dar-es-Salaam…
Wakati mastaa wa zamani wa Yanga wakiwataka mabosi wao kuvamia Ghana kwa mshambuliaji Jonathan Sowah fasta na kumsajili, mwenyewe amefungukia kila kitu…