KUHUSU DUDE KUANZA KUFUNGA TENA…MZIZE AFICHUA ‘DAWA ZILIZOTUMIKA KUMZINDUA’….
STRAIKA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, Clement Mzize, amesema yeye ndiye alikuwa mshauri nasaha ‘mkubwa’ wa mshambuliaji Mzimbabwe,…
Browse all posts in this category.
STRAIKA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, Clement Mzize, amesema yeye ndiye alikuwa mshauri nasaha ‘mkubwa’ wa mshambuliaji Mzimbabwe,…
Sead Ramovic alitambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni muda mchache baada ya klabu hiyo kutangaza kuachana na Miguel Gamondi. Ramovic…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema wamekwenda jijini Dodoma kwa lengo moja tu, kuwapa zawadi ya sikukuu ya Krismasi wananchi na…
BAADA ya kupachika mabao mawili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Prisons uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar…
BAADA ya timu yake kuendelea kupata ushindi mnono, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema tayari wachezaji wake wameanza kumwelewa nini anataka…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Jean Baleke hana nafasi katika kikosi cha timu hiyo tangu enzi za kocha Miguel Gamondi na hata sasa timu…
YANGA jana imeendelea wimbi la ushindi baada ya kuifumua Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Prince…
Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube amewashukuru watu wote waliomuombea hadi amefanikiwa kufunga mabao yake ya kwanza matatu katika ligi. Dube ambaye amechaguliwa…
YANGA jana imeshinda jana goli 3-2 dhidi ya Mashujaa FC, Lakini imekuwa ikipitia kipindi kigumu kwa siku za karibuni baada ya kukosa…
YANGA wanapambana kuhakikisha wanatimiza matakwa ya kocha mkuu wa kikosi hicho, Sead Ramovic ambaye ameagiza kufanyika maboresho kadhaa katika kipindi hiki cha…
YANGA imerejea asubuhi ya jana ikitokea Lubumbashi, DR Congo ilikopata pointi moja ya kwanza karika mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa…
KLABU ya Yanga imelalamika kufanyiwa vurugu kubwa baada ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi dhidi ya TP…