VYA AZIZI KI VYAPATA MRITHI YANGA….MAYELE ATAJWA UPYAAAA….
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua pamoja na straika mpya, Andy Boyeli wameachiwa msala katika kikosi hicho kwa msimu wa 2025-2026. Pacome…
Browse all posts in this category.
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua pamoja na straika mpya, Andy Boyeli wameachiwa msala katika kikosi hicho kwa msimu wa 2025-2026. Pacome…
KAMBI ya Yanga imezidi kunoga kule Avic Town, Kigamboni Dar es Salaam, lakini jana ilikuwa katika mapumziko flani mafupi na kazi itaendelea…
KLABU ya Yanga imesema imeridhishwa na kikosi chao cha msimu mpya ujao wa mashindano na kwamba ina matumaini makubwa ya kubakiza makombe…
WANACHAMA na viongozi wa Yanga wameitana jijii Dar es Salaam mwezi ujao kwa lengo la kujadili mambo yao kabla hata msimu mpya…
KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna…
BEKI Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ametambulishwa usiku wa juzi akiwa mmoja ya nyota wapya wa Yanga akitokea Simba, lakini saini ya mkataba uliomfanya…
WINGA, Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na…
YANGA imeshaanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26 na juzi Jumapili mazoezi ya timu hiyo yalisitishwa kidogo kisha kufanyika…
MABOSI wa Yanga wameshamaliza kazi ya kusajili majembe ya maana kwa kikosi cha msimu ujao wa mashindano, ikiwamo kushusha makocha wapya katika…
Yanga juzi ilimtambulisha kocha mpya, Romain Folz kuchukua nafasi ya Miloud Hamdi aliyeondoka katika timu hiyo mara baada ya msimu kumalizika. Hamdi…
YANGA inaendelea na marekebisho kadhaa ya kiufundi kwenye kikosi chake kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano…
MABOSI wa Yanga wamebadilisha gia angani mara baada ya kumpa ajira kocha mpya Romain Folz atakayetambulishwa wiki hii, ambaye ametaka mastaa wa…