EDO KUMWEMBE ATUPA DONGO YANGA…AWATAJA MAKAMBO NA DJUMA SHABANI
HERITIER Makambo juzi aliwaonyesha Yanga kile ambacho anaweza kufanya. Hapana, tuseme aliwakumbusha. Tangu alipoondoka Jangwani miaka miwili iliyopita Yanga haikuweza kupata mshambuliaji…