RASMI…..FADLU ATOA YA MOYONI KUSEPA SIMBA….ATAJA VIONGOZI…ISHU YA FEI TOTO…..
HATIMAYE kocha Fadlu Davids amevunja ukimya baada ya kuondoka Simba na kwenda kujiunga na Raja Athletic, akieleza kila kitu alipofanya mahojiano exclusive…
Browse all posts in this category.
HATIMAYE kocha Fadlu Davids amevunja ukimya baada ya kuondoka Simba na kwenda kujiunga na Raja Athletic, akieleza kila kitu alipofanya mahojiano exclusive…
YANGA inaendelea kutoa vipigo lakini kuna baadhi ya watu kama hawaridhiki hivi, sasa uongozi umeibuka na kutoa msimamo mzito juu ya kocha…
BEKI mpya wa Yanga, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, amefunguka kuwa ni kweli kuna ushindani mkali wa namba kati yake na Shadrack Boka, lakini…
WAKATI Fadlu Davids, akiwaaga rasmi wanachama na mashabiki wa Simba, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars, Benni McCarthy…
WACHEZAJI wawili raia wa Afrika Kusini, Neo Maema na Rushine De Reuck, amewaahidi wanachama na mashabiki wa Simba kuwa watarajie ushindi mwingine…
KOCHA wa Simba Fadlu Davids ametafuta njia yake mpya, baada ya kuamua kuikimbia timu hiyo akirejea Morocco ambako wakati wowote atatangazwa kuwa…
KIWANGO bora alichoonyesha kipa wa Simba, Moussa Camara ‘Spiderman’ katika pambano la Dabi ya Kariakoo, kimemshtua kocha Mfaransa anayeinoa Yanga na kusema…
KIPYENGA kwa ajili ya kuanza kwa mashindano yaliyopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ngazi ya klabu kimepulizwa tangu…
KOCHA wa Yanga, Romain Folz, amewataka wachezaji wa timu hiyo kusahau ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kugeukia mechi…
Ofisa Habari wa Yanga SC amesema kuwa Simba SC ya msimu huu wa 2025/26 ni mbovu kuliko ile ya msimu uliopita wa…
WIKIENDI imechangamka kwenye anga la kimataifa kutokana na timu zote nne kutoka Tanzania kuwa katika kazi. Ijumaa, Uwanja wa 11 de Novembro,…
TANGU msimu wa 2013-14 ambao Azam FC ilibeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mara ya kwanza kwao, wamepita makocha mbalimbali…