MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA…ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA
Mwamuzi Raphael Mbotela (18) amefuzu Mafunzo ya kuchezesha michezo ya ligi kuu ya nchini Zambia baada ya kumaliza kozi ya Uamuzi kwa…
Browse all posts in this category.
Mwamuzi Raphael Mbotela (18) amefuzu Mafunzo ya kuchezesha michezo ya ligi kuu ya nchini Zambia baada ya kumaliza kozi ya Uamuzi kwa…
Klabu ya Us Monastr ya Tunisia imefikisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake na kuelekea mchezo wa leo Jumapili Machi 19 wa kombe…
Wachezaji wawili nchini Kenya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi walipokuwa uwanjani katika mechi ya kirafiki katika Kaunti ya Kisii. Sammy Musa, 20, na…
OPAH Clement ameanza kuyazoea maisha mapya nchini Uturuki, huku timu aliyokuwa akiichezea, Simba Queens imewataja wachezaji watatu wa kuziba nafasi yake kikosini.…
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club leo na Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. mabao 7-0 Simba imeingia uwanjani…
Nimesikia na kuona Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likitoa tuzo maalum kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Mfalme Mohammed…
Kocha Mkuu wa US Monastir, Darko Novic ametoa kauli ya kinyonge kuwa hawatatumia nguvu nyingi watakapovaana na Mabingwa wa Soka Tanzania Young…
TIMU ya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi…
NYOTA wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Rashid Idd ‘Chama’ ameungana na baadhi ya wadau na mashabiki walioshangazwa kutoitwa kwa…
MASTAA wa Yanga hadi sasa wameshavuna kiasi cha zaidi ya Sh 316 milioni kama bonasi ya kufanya vizuri kwenye mechi tatu kati…
Hivyo ndivyo unavyoweza sema baada ya Simba ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa kuifunga kwa aibu goli 7-0 Horoya…
KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns, siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Kama Simba watafanikiwa kupenya…