MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO… MWANASOKA BORA WA MWAKA…
KIPA wa Simba SC, Aishi Salum Manula akiwa ameinua tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Baraza la Michezo la Taifa…
Browse all posts in this category.
KIPA wa Simba SC, Aishi Salum Manula akiwa ameinua tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Baraza la Michezo la Taifa…
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana akimkabidhi Nahodha wa Simba SC, John Bocco Sh. Milioni 35 za ahadi ya…
KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo…
KENNEDY Musonda ameivusha Yanga kwenda robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia bao na asisti aliyotoa leo, Jumapili dhidi ya Monastir…
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwapa nguvu vilabu vya Simba na Yanga ambao wapo kwenye michuano…
BAADA ya Simba Queens kutembeza kichapo cha mabao 7-0 kwa The Tigers Queens ya Arusha sasa hasira za vinara hao wa Ligi…
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeanza kujaza maji baadhi ya eneo la kuchezea la Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mvua hizo…
YANGA ina dakika 90 za kuthibitisha ubora wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika itakapoikaribisha US Monastir ya Tunisia, huku mastaa wa timu…
Kila siku kumekuwa na kilio kikubwa cha ukosefu wa ajira, wengi wenye elimu wapo mtaani bila kazi lakini kuna sehemu moja tu…
Ujanja wa Prince Dube muuaji anayetabasamu kutupia ndani ya ligi ni akiwa ndani ya 18 ambapo katupia kamba tano akiwa eneo hilo…
Straika wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameendelea kuwa mchezaji muhimu katika Timu yake ya Genk siku za hivi karibuni na hii…