Michezo
BOCCO AKABIDHIWA MIL 35…NI ILE AHADI YA MAMA SIMBA…IKISHINDA DHIDI YA HOROYA
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana akimkabidhi Nahodha wa Simba SC, John Bocco Sh. Milioni 35 za ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kila bao lililofungwa kwenye ushindi wa 7-0 mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.




Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.