MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO... MWANASOKA BORA WA MWAKA...
Michezo

MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO… MWANASOKA BORA WA MWAKA…

Marce Ben Komba March 19, 2023 11:34 pm

KIPA wa Simba SC, Aishi Salum Manula akiwa ameinua tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kufuatia ushindi wa 7-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea.

BOCCO AKABIDHIWA MIL 35…NI ILE AHADI YA MAMA SIMBA…IKISHINDA DHIDI YA HOROYA KOCHA WA TAIFA STARS…AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply