AHMED ALLY:- SIMBA ILIKUWA HAINA NAMBA 6 ASILI….
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr utaenda kutibu matatizo yote ya…
Browse all posts in this category.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr utaenda kutibu matatizo yote ya…
Dakika 45 zimetosha kumshawishi Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria, Abdelhak Benchikha kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Luis Miqquissone katika timu hiyo. Luis alikuwepo…
NI nadra kwa wachezaji kuwasifia mastaa wenzao wanaocheza katika ligi moja, lakini kwa Kenny Mwambungu wa KMC kwake sio ishu sana, baada…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi mjanja sana. Baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupigwa Kariakoo Derby katika michuano ya Kombe la…
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itazawadiwa Dola milioni 7 ambazo sawa na Sh bilioni 17.56 endapo itachukua ubingwa wa Michuano…
Kamati ya Nidhamu ya klabu ya Simba SC iliyokuwa imepanga kusikiliza kesi inayowahusu viungo wa timu hiyo, Clatous Chama na Nassor Kapama…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Augustine Okrah anaendelea vyema na huenda akatumika katika mchezo unaofuta wa Kombe la Mapinduzi, ambapo Young Africans…
Eeh bwana wee mzigo leo upo wa kutosha kupitia michuano ya kombe la FA ambapo leo nchini Uingereza itapigwa michezo kadhaa ambayo…
UONGOZI wa Simba umemtambulisha kiungo mkabaji rai wa Senegal, Babacar Sarr kwa mkataba wa miaka miwili kujiunga na kikosi cha Wekundu hao…
MASTAA wa Yanga ambao walifunga 2023 kwa kujenga ushikaji na benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara wamepewa onyo na benchi la…
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amesema APR ni timu bora na imempa kipimo kizuri cha kujua uimara wa kikosi cheke ulivyo…
Simba imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Mapinduzi 2024 baada ya kulazimishwa suluhu na moja ya timu wageni walikwa kwenye…