KUELEKEA MSIMU UJAO…NABI ARUDI NA MAFAILI MATATU YANGA…MWINYI ZAHERA AFUNGUKA ISHU YA KAMBI KIGAMBONI…
Mastaa wa Yanga wamerejea kambini jana kuanza maandalizi ya msimu mpya lakini benchi la ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi wana siri…
Browse all posts in this category.
Mastaa wa Yanga wamerejea kambini jana kuanza maandalizi ya msimu mpya lakini benchi la ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi wana siri…
Nyota wa Kikosi cha Simba SC, Pape Sakho tayari amefika nchini Morroco kuhudhuria Tuzo za CAF 2022 ambazo zitafanyika leo saa 4…
Kamati ya Maadili ya TFF imemhukumu Ndugu Haji Manara kutojihusisha na masuala ya soka ndani na nje ya nchi kipindi cha miaka…
Baada ya kutua Singida Big Stars, Mathis Lule amesema atafaidi mengi kwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans Van Pluijm kutokana na…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umebisha hodi Shirikisho la Soka Duniani ‘FIFA’ ukilitaka kutoa ridhaa ya kumruhusu Mshambuliaji kutoka Jamhuri ya…
Uongozi wa Young Africans umetamba kuwa na kikosi imara kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ na…
Ofisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema kwamba, vilabu vya soka vya Simba na Yanga vinaweza kupishana katika mambo mengine…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Mjumbe wa Kamati ya Usajili, Crescentius Magori kwa pamoja walifunga safari…
Nyota mpya wa Azam FC, Abdul Suleiman ‘Sopu’ amevunja ukimya na kufunguka juu ya namna alivyokacha ofa za Simba na Yanga na…
Klabu ya KMC imeachana na aliyekuwa beki wake, Hassan Kessy baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja wa kuwatumikia kufikia ukomo. Kessy…
Klabu ya Young Africans huenda ikacheza mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Mabingwa wa Uganda Vipers SC kwenye kilele Cha Wiki…
Kocha Zoran Maki juzi aliishuhudia timu yake kwa mara ya kwanza ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ismaily ikiwa kambini Ismailia, Misri…