KAMA ULIKUWA HUJUI…YANGA WAKIBEBA KOMBE LA LIGI KUU TU…WANALAMBA BILIONI 4 ‘CASH’…MCHANGANUO HUU HAPA…
KIASI kikubwa cha fedha ambacho Yanga itakivuna mwishoni mwa msimu kinaipa jeuri ya kunasa mastaa wasiopungua watatu kutoka katika timu yoyote barani…