FT: AZAM FC 0-1 SIMBA ….SIMBA WABEBA KOMBE KIBABE…MKUDE AMPAGAWISHA RAIS MWINYI KWA STORI…
SIMBA ni mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2022 wanachukua kombe Uwanja wa Amaan ikiwa ni taji lao la nne. Dakika 90 zinakamilika…
Browse all posts in this category.
SIMBA ni mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2022 wanachukua kombe Uwanja wa Amaan ikiwa ni taji lao la nne. Dakika 90 zinakamilika…
Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi, Pablo Franco, amesema kuwa wanakwenda kubadili historia ya kufanikiwa kutinga Fainali ya Michuano ya Mapinduzi mara…
UONGOZI wa Simba SC, umepanga kumtambulisha Clatous Chama siku ya mwisho kabla ya usajili wa dirisha dogo haujafungwa Januari 15, mwaka huu.…
HATIMAYE Simba imefikia makubaliano mazuri na kiungo mkabaji raia wa Nigeria, Udoh Etop David na kupewa mkataba wa miaka miwili kuichezea timu…
MASHABIKI wanaodhaniwa kuwa ni wa Simba juzi walijitokeza kwa wingi Bandari ya Dar es Salaam kuwapokea watani zao wa jadi, Yanga ambao…
KIUNGO Mshambuliaji waYanga, Denis Nkane atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja kutokana na kusumbuliwa na Kinena. Nkane alisajiliwa na Yanga kwenye…
Wachezaji wa Kigeni Sharraf Shiboub kutoka nchini Sudan na Chekhi Moukoro kutoka Ivory Coast wanadaiwa kutemwa na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara…
Tetesi za Usajili kutoka kwa Mabingwa wa Soka Tanzanai Bara Simba SC zinaeleza kuwa tayari kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Clatous Chotta…
Kocha wa Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi ametua jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo Alhamis (Januari 13), akitokea Ubelgiji…
Mlinda Lango wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Aishi Manula amesema kujituma na ushirikiano uliopo baina ya wachezaji wa klabu…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumatano
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Spoti Xtra leo Jumatano