News

Browse all posts in this category.

News

WAWILI HATIHATI YANGA

KOCHA  Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, anakabiliwa na wakati mgumu baada ya klabu hiyo kutakiwa kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni ili…

Jan 16, 2026
News

BENCHI LA UFUNDI LA ONGEZWA NGUVU SIMBA

UONGOZI wa klabu ya Simba umeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha timu kwa kumtambulisha rasmi Kristopher Bergman kama kocha msaidizi mpya katika…

Jan 16, 2026
News

FERUZ WA SIMBA AREJEA LIGI KUU

KIPA wa zamani wa Simba, Ahmed Feruz amerejea katika Ligi Kuu Bara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuidakia Namungo akitokea…

Jan 15, 2026
News

PHIRI AKWAMBA ULAYA AIBUKIA ZIMBABWE

MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Hard Rock FC inayoshiriki Ligi Kuu Zimbabwe, baada…

Jan 15, 2026
News

MPANZU ATANGAZA HATARI JUMAPILI

NYOTA wa Simba SC, Elie Mpanzu, ameonyesha kiwango kikubwa cha hamasa na ari ya kupambana kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania…

Jan 15, 2026
News

MBWA MWITU AINGIA RASMI NDANI YA YANGA

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Radomiak Radom ya Poland, Laurindo Dilson Maria Aurelio maarufu kwa jina la Mbwa Mwitu (Depu), ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji…

Jan 15, 2026