AFE KIPA…AFE BEKI…WALE NYINGI..WAZAMBIA WAPOTEANA DAR..YANGA WAPEWA MASHARTI..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumapili
Browse all posts in this category.
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumapili
KIPA wa Azam FC Mathias Kigonya amesema kuwa lawama anazopata kutokana na mabao anayofungwa anachukulia kama changamoto kwake ya kufanya vizuri. Kauli…
KINARA wa mabao kwenye kikosi cha Simba, Meddie Kagere amesema kushindwa kupata nafasi ya kucheza kikosi hicho katika nyakati tofauti ilikuwa kama…
KUWAHESHIMU wapinzani ni moja ya silaha ambayo Simba wataitumia katika mchezo wao wa mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red…
Kocha Mkuu wa Mbeya Kwanza, Harerimana Haruna amesema anaandaa Mpango Mkakati Madhubuti ambao anaamini utakisaidia kikosi chake kuchomoza na ushindi dhidi ya…
LICHA ya mafanikio makubwa ya upasuaji wa goti aliofanyiwa kiungo Mburkinabe wa Yanga, Yacouba Songne, imeelezwa kuwa kiungo huyo yupo hatarini…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumamosi
SIMBA imeamua kumuondoa katika hoteli ya kisasa, kocha msaidizi wa timu hiyo, Mnyarwanda, Thierry Hitimana, na kumpangia nyumba ya kisasa iliyopo Mbezi…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi
Kiungo wa zamani wa klabu ya Young Africans, Thaban Skalla Kamusoko amewashauri Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC kutoidharau timu ya…
Uongozi wa Azam FC umekanusha taarifa za kuwa kwenye mpango wa kumtimua Kocha George Lwandamina na nafasi yake kuchukuliwa na aliyewahi…
Kocha Mkuu wa kikosi cha Red Arrows ya Zambia, Chisi Mbewe wamejipanga kupambana dhidi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba…