CHAMA AKABIDHIWA KWA PABLO..YANGA YAWAANDALIA SIMBA KICHAPO…SIMBA KUJENGA VIWANJA VITANO..
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Sport Xrea leo
Browse all posts in this category.
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Sport Xrea leo
Klabu ya Geita Gold kupitia kwa afisa habari wake Hemed Kivuyo imethibitisha kuwa ni kweli imepeleka maombi kwa klabu ya Yanga kutaka…
WAKATI hekaheka za usajili wa dirisha dogo msimu huu zikielekea kuanza, nyota wa zamani wa Simba wamekuwa na mtazamo tofauti wa usajili…
Wachezaji Feisal Salum’ ‘ Fei Toto’ na Fiston Mayele wamefunika kwa kupokelewa kwa shangwe wakati Yanga ikiwasili kwenye Uwanja wa Ilulu Lindi.…
TANZANIA imeshuka nafasi moja kutoka 130 hadi 131 katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa…
MASTAA wa Yanga ni kama wamekula kiapo kuhakikisha leo Jumamosi wanaibuka na ushindi dhidi ya Namungo kutokana na kuweka wazi kuwa wanahitaji…
Yanga itamkosa kiungo wake mahiri Khalid Aucho katika mchezo dhidi ya Namungo leo Novemba 20, baada ya kuumia kwa kupata mchubuko…
BAADA ya kupata ushindi wake wa kwanza akiwa na Simba, Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco amesema ushindi wa mabao 3-1…
TIMU ya Simba imeendeleza ubabe mbele ya maafande wa Ruvu Shooting baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika Uwanja…
Viongozi wa Yanga wakiongozwa na mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM, injinia Hersi Said wamekaa na wachezaji kwa dakika 15 baada ya…
KUFUATIA ugumu wa maisha anaokutana nao katika timu ya RSB Berkane ya nchini Morocco, kiungo wa zamani wa Simba, raia wa Zambia,…
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo