Simba SC

Browse all posts in this category.

Simba SC

CHAMA AFICHUA KUREJEA MSIMBAZI

WAKATI tetesi za kurejea ndani ya kikosi cha Simba zikizidi kushika kasi, kiungo wa Singida Black Stars, Clatous Chama, ameibua hisia nzito…

Jan 1, 2026
Simba SC

PANDA DELUXE KUKUPA URAHISI SLOTI YA USHINDI

Meridianbet wamekuja kitofauti kabisa msimu huu, wamekuletea mchezo kabambe wa Meridian Panda Deluxe, mchezo unaokupa mtazamo mpya kabisa wa sloti, ukionyesha namna gani…

Jan 1, 2026
Simba SC

SIMBA MWENDA POLE NDIE MLA NYAMA

KAULI ya “mwenda pole ndiye mla nyama” inaendelea kuidhihirisha vyema falsafa ya uongozi wa Klabu ya Simba katika mikakati yao ya usajili…

Jan 1, 2026
Simba SC

JANGWANI WATAMBULISHA SILAHA YAO MPYA

KLABU ya Yanga  imemtambulisha rasmi kiungo Mohammed Damaro kuwa mchezaji wake mpya, akitia saini mkataba utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwisho…

Dec 31, 2025
Simba SC

TANDIKA JAMVI LAKO LA USHINDI HAPA

Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya…

Dec 31, 2025
Simba SC

JIWE MOJA KUUWA NDEGE WAWILI SIMBA SC

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Zubeda Sakuru, amesema uongozi wa klabu hiyo umejipanga kutumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi kama fursa…

Dec 31, 2025
Simba SC

SIMBA SC KUELEKEA ZANZIBAR

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mpya, Steve Barker kinatarajiwa kuondoka kesho Januari Mosi, 2026 kuelekea Visiwani Zanzibar. Simba wanaelekea Visiwani humo…

Dec 31, 2025